International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Walipinga Marekani kuisadia Uingereza na mataifa mengine ya ulaya dhidi ya vita vya Adolf Hitler, watu wajinga wa hovyo wamekuwepo duniani nyakati zote ila wingi wao tu ndio huwa unabadilika.
2 Reactions
3 Replies
570 Views
Mkuu wa houthi,jana,alitoa taarifa ya uss truman kutofanya kazi na kupoteza uongozi wake baada ya shambulio lao la awali dhidi ya meli vita hiyo,jambo lililopelekea marekani kutuma meli nyingine
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwana kulitaka mwanakulipata walisema wahenga,tulisha tanguliza tahadhari Yemen Italia siyo muda na ndo kinachoendelea hv sasa Wahouth wanaponzwa na udini Sasa inaanza kuwagharimu maana kichaa...
10 Reactions
25 Replies
1K Views
Raisi Vladimir Putin ws Rasia ametangaza usitishaji mapigano Ukraine kwa siku mbili nchi Ukraine kwa siku mbili kupisha pasaka Amri hii inakuja masaa machache baada ya Marekani kutishia kujiondoa...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Inaonekana mataifa ya kiislamu yameshindwa kuwatetea wenzao huko Palestina.Kwa jinsi ambavyo mayahudi wameamua kuwatendea wakristo huenda mataifa yenye wakristo wengi yakaleta ukombozi wa eneo...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Moja kwa moja... Kabla sijaanza mada yangu ningependa kuweka wazi msimamo wangu wa tokea awali katika yale yanayoendelea Gaza ; 1. Siwaungi mkono Hamas na njia wanazotumia ambazo hazikubaki...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
MKUU wa Kanisa Katoliki, Papa Francis,amewatawadha makadinali 20 ambao wataongezwa katika orodha ya kupata mrithi wake baada ya kifo au kujiudhulu. Miongoni mwa waliotawazwa wakati wa hafla...
0 Reactions
4 Replies
816 Views
Papa Francis anaendelea kupata nafuu huku akiendelea kupambana na nimonia pande zote mbili, Vatican ilitangaza Ijumaa, lakini hatatoongoza ibada ya kila mwaka ya Kanisa inayofungua kipindi cha...
2 Reactions
8 Replies
874 Views
Athari ya vita vya Gaza inazidi kuenea duniani kwa vikundi vidogo kujiamini kupambana na wababe wa dunia. Msemaji wa wanamgambo wa Houth ,Yahya Saree amesema kikosi chake kimoja kimefanikiwa...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
DECOLONIZING THE GRADUATION ATTIRE Graduation attire, especially the traditional cap and gown, symbolizes a Eurocentric approach to academic success, which excludes and marginalizes various...
0 Reactions
6 Replies
483 Views
Uhusiano wa serikali ya Lebanon na chama cha Hizbullah umezidi kuimarika baada ya raisi Joseph Aoun kukasiririshwa sana na mauwaji yanayoendelea kufanywa na majeshi ya kiyahudi ya IDF ndani ya...
2 Reactions
5 Replies
526 Views
Katika mahojiano aliyoyafanya na gazeti la "Badisches Tagblatt" la Ujerumani, jaji Wolfgang Schomburg amewanyooshea viongozi wengi kidole: Schomburg aliyekuwa sehemu ya jopo la majaji...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Benjamini Netanyahu amejisifu kuwa ramani mpya ya mashariki ya kati inaenda vizuri.Katika kujisifu huko ametaja jinsi ambavyo Hamas na Hizbullah zimedhoofika. Makamanda wake nao hasa waziri wa...
6 Reactions
67 Replies
4K Views
Hezbollah wa Lebanon wamenyamazishwa kimya. Hamas kao lao limeangamizwa. Syria imepinduliwa. Houthis, US anawaangushia makombora mazito kila siku, muda sio mrefu wanajeshi 80,000 wa Yemen...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
Soma hii habari ya Al-jazeera. Wanafunzi wanafutiwa visa, kukamatwa na wengine kurudishwa makwao kisa kuandamana kupinga mauaji huko Palestina. Hii sio sawa. =========== Mamia ya wanafunzi na...
4 Reactions
16 Replies
940 Views
Habari zinazotrend huko Zimbabwe zinasema magari ya wanajeshi yameonekana mitaani Harare. Haijulikani ni nini hasa kinaendelea ila kuna tetesi ya jaribio la mapinduzi kuendelea. Naona wanajeshi...
23 Reactions
95 Replies
7K Views
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development) Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani...
12 Reactions
102 Replies
5K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi: "Tunasubiri kusikia misimamo ya upande wa Marekani kesho. Ikiwa hawatawasilisha maombi yasiyo na maana, yasiyo ya kweli na yasiyotekelezeka...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Kama walivyofanya kwa Hitler na Mussolini, au kuwaondoa Benjamin Netanyahu na Trump wataiangamiza dunia
6 Reactions
41 Replies
2K Views
https://www.aljazeera.com/news/2025/4/20/soyuz-ms-26-spacecraft-brings-us-russia-crew-back-to-earth Kumbe wanashirikiana kwenye mambo ya anga
0 Reactions
2 Replies
406 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…