International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kwa sasa tunaiona Taiwan kama eneo linalovutana na China, huku kila upande ukidai uhalali. Lakini je, historia ya Taiwan ni ipi hasa? Ilikuwaje sehemu ya China? Je, Nationalists walifika vipi...
1 Reactions
8 Replies
636 Views
Iran imesema haitakuwa na njia nyingine ila kutumia silaha za nyuklia endapo itashambuliwa na Marekani au Ali Larijani, Mshauri wa kiongozi mkuu wa Iran, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kwenye...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel yaendelea kuonyesha umahiri wake wa kup opona makombola kutoka Yemen, kątka kipindi cha mwezi April 2025 makombola zaidi ya 26 yamepopolewa kwa ustadi mkubwa na...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Mkuu wa Majeshi ya Israel amewaonya kwa mara nyingine tena magaidi wa Hamas kuwa Majeshi ya Israel yataongeza mbinyo kwa magaidi hao huko Gaza mpaka mateka inayowashikilia waachiwe huru. Hayo...
1 Reactions
6 Replies
549 Views
Mkataba huo utahusisha rasilimali kama Aluminium, Graphite,Oil na natural gas. Hapa ndipo napo wapenda wamarekani bado mikataba ya ujenzi. Pesa ya marekani huwa haiendi bure bure huwa haina...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndege ya kivita yenye thamani ya dola za kimarekani 70mil sawa na mabilioni ya fedha za Tanzania imepotea kwenye bahari nyekundu. Tukio hilo limetolewa taarifa na US navy na kutaja sababu ni...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Katika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Russia imepeleka Special Forces Burkina Faso kwa ajili ya kuongeza ulinzi na mafunzo maalum. Unakuja baada Ufaransa kuonyesha tamaa ya kutaka kutawala Nchi za kiafrika na kuendelea kuzinyonya...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika kile kinachooneka uchumi wa Marekani kutegemewa kutofanya vizuri katika robo ya pili ya mwaka baada ya kusinyaa katika robo ya kwanza tangu aingie madarakani, Rais wa US, Trump ameonekana...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Katika mkesha wa Siku ya Uhuru Israel kufikisha miaka 77 , idadi ya watu inasimama kwa watu milioni 10.094: kati yao • Wayahudi milioni 7.732 na wengine (77.6%) • Waarabu milioni 2.114 (20.9%)...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Moto wa nyika haudhibitiwi. Watu wanatelekeza magari yao kwenye Barabara kuu na kukimbia kwa miguu. Huku nyuma wakisababisha msongamano wa magari Upepo mkali unafanya juhudi za kuzima moto...
1 Reactions
97 Replies
5K Views
Kwanza naomba mapovu yanaruhusiwa na hoja zina ruhusiwa ila mniache nabii nitoe yale nayaona... Mziki ulianza Mozambique 🇲🇿 na sasa Congo DRC 🇨🇩 wanaucheza yes the dark days in Tanzania overseas...
7 Reactions
87 Replies
5K Views
VLADIMIR PUTIN "Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir...
43 Reactions
68 Replies
5K Views
Wanaukumbi. Ripota wa Israel anatoa maoni yake kuhusu video hii: "Nataka tu kuuliza kwa upole: Je, Israel imekuwa ikishambulia kwa mabomu kwa siku 450 huko Gaza? Hamas inaonekana kuwa katika...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Maisha ya Cairo ni tofauti na Dar es salaam au Nairobi kijiografia na uoto wa asili. Ni jiji wakazi milioni 23 na ukame wa nyasi hadi miti. Hali ya hewa ni joto kali na Bado wenyeji wana utamaduni...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Hivi karibuni kama mlikuwa mnafuatilia habari za kidunia, kulikuwa na mgogoro baina ya India na pakistan. Mgogoro huu umepelekea serikali ya Pakistan kupiga marufuku ndege za abiria za...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Wengi wanaona hizi ni siasa mpya kabisa huko Marekani ambapo mawaziri na watumishi wa Serikali wanashinda wakimsifu Trump kwa sifa zilizopitiliza.
0 Reactions
2 Replies
368 Views
Ofisi ya Rais wa Ufilipino imeripoti kukamatwa kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Rodrigo Duterte, baada ya kupokea ombi kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Duterte alikamatwa...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa na aljazeera ,moto mkubwa umezuka maeneo ya Jerusalem na kuzua hofu ya kupoteza maisha ya watu. Waziri wa mambo ya nje ameomba msaada kutoka nchi jirani na za...
4 Reactions
17 Replies
969 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…