International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kumetokea mapigano yasiyo ya kawaida eneo la mpaka wa kusini wa Gaza na kupelekea kikundi kikubwa cha askari wa Israel kuripukiwa na bomu wakati wamo ndani ya jengo moja mpakani huko. Habari hizo...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Waziri wa ulinzi wa Pakistan akiwa mubashara na CNN kaulizwa atoe ushahidi wa Pakistan kuzilipiua ndege za vita za India. Kashindwa kutoa ushahidi Na kudai mbona ushahidi upo kwenye mitandao ya...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Rais Donald Trump wa Marekani hivi karibuni ametangaza mpango wa kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa filamu zinazotengenezwa katika nchi za kigeni na kuoneshwa nchini Marekani. Hatua hii ni sehemu...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir alitangaza kuanzishwa kwa "Awamu B" ya vita vya Israel dhidi ya Hamas wakati wa ziara ya Kitengo cha Gaza siku ya Jumatano, akiwaambia makamanda...
3 Reactions
5 Replies
427 Views
Huku Pakistan wakiendeleq kuuguza kipigo cha India ambapo walipoteza miundo mbinu na magaidi 33 wa dini tayari wameanza kupokea milipuko humo ndani... Mnalo nyie watu, mnataka mpigane na kila mtu...
1 Reactions
9 Replies
959 Views
Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja. Naona Watu wanahisi Ayatollah hakusema hayo. Mjadala...
18 Reactions
276 Replies
8K Views
Majeshi ya israel sasa hivi yanawashughulikia magaidi wa Hezbollah kwa kuzishambulia kambi zao zilizoko huko Lebanon kusini.
5 Reactions
16 Replies
841 Views
Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi, Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Fuatilia mjadala wa Bunge la Ulaya kuhusu sakata la Tundu Lissu unaoendelea mchana huu, Mei 7, 2025 Pia soma Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la...
25 Reactions
132 Replies
11K Views
IDF na Shin Bet walifunga mduara: Mohammad Rasmi Marzouk Baraka, gaidi wa Hamas ambaye alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7 na kumteka nyara mnusurika wa mauaji ya kinyama Yaffa Adar mwenye umri...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Baloch Liberation Army (BLA) imekiri kuhusika na mashambulizi mawili mabaya dhidi ya vikosi vya jeshi la Pakistan huko Balochistan, yaliyosababisha vifo vya wanajeshi 14, wakiwemo maafisa wa ngazi...
4 Reactions
8 Replies
633 Views
Tunatoa mtazamo wa kina wa kile kinachotokea ndani ya Sistine Chapel katika muda mfupi kabla ya kuonekana kwa moshi mweupe, na kile kinachofanyika kabla ya tangazo linalotolewa na Kardinali...
3 Reactions
5 Replies
678 Views
Mafundi bomba wameonekana kutoka mbali ndani ya Rome wakirekebisha lile bomba linalotoa moshi wakati wa uchaguzi wa papa baada ya aliyemtangulia kufariki dunia. Pamoja na harakati za uchaguzi huo...
6 Reactions
69 Replies
4K Views
Zoezi la kuzizungusha maiti mitaani za magaidi waliouwawa wakifanya Ugaidi huko Khan younis linaendelea katika mitaa mbalimbali katika jiji hilo.
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Baada ya kipigo cha jana na leo magaidi wa Houth wamesalimu amri na kuahidi hawana shambulio tena Meli huko Red-sea hayo yamesemwa na Rais Donald Trump baada ya Magaidi hao kumjulisha hayo. Kwa...
5 Reactions
71 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hizo ni tetesi yasemekana kikosi hicho kinatumia teknolojia kubwa ya kipekee kuwahi kutokea duniani na hata mayahudi wameshangazwa sana
0 Reactions
10 Replies
680 Views
Sikudhani kuna siku nitakubaliana na muarabu kwenye chochote, tangu walipoharibu dunia na uzombi wa kidini, ila naona vizazi vya leo vya muarabu wako makini kwenye kurekebisha mauchafu yalioachwa...
6 Reactions
82 Replies
3K Views
Kulikuwa na ulazima ? hiki kinachofanyika sio haki, hata vitani kuna rsheria zake, Yemen kapenyeza kombora moja kwenye anga la Israel kulikuwa kuna haja gani Israel kutuma ndege 30 na kulipua...
10 Reactions
134 Replies
6K Views
Picha mpya za satelaiti zinaonyesha ndege mbili za kivita za Marekani aina ya B-52 zikiwa katika kituo cha anga cha Diego Garcia katika Bahari ya Hindi, zikiimarisha mkao wa Washington wa...
3 Reactions
4 Replies
443 Views
Ndege 30 zimeingia kwenye anga la Yemen kwenye ukanda wa Houthi lakini wameshindwa kuotea hata moja tu ? Hata hivyo, lawama kamili huenda ikaelekezwa kwa Iran, ambao wapo nyuma ya Houthi...
13 Reactions
93 Replies
3K Views
Back
Top Bottom