Kama mjuavyo Rai's Trump atafanya ziara Saudi Arabia hiv Karibuni.
Ila hii ziara kwangu naisubiri Kwa hamu Sana na nitaifuatilia Kwa Karibu kwasababu Tu ya hawa walinzi WA ikulu na mfalme wa...
Mwezi wa huu wa Mei mwaka 2025, ulimwengu umetikiswa na mgogoro mpya kati ya mataifa mawili yenye historia ndefu ya mvutano – India na Pakistan. Tarehe 6 Mei, India ilitangaza operesheni kali...
Wanaukumbi.
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:
"Picha kutoka kwa mashambulizi ya "Simba wa Al-Muntar", ambayo yalilenga askari na magari ya adui katika kitongoji cha Al-Shuja'iya, mashariki mwa...
Msemaji wa Ikulu ya Marekani kupitia ukurasa wake wa Twitter ametamba kufungwa kwa msikiti mkubwa zaidi huko Abu Dhabi, Falme za Kiarabu kupisha ugeni wa Boss wake Trump. Anasema ni mara ya kwanza...
Afisa mkuu wa usalama: Mashambulizi ya hivi punde zaidi katika Ukanda wa Gaza ni ujumbe kwa Hamas
"Hii ni fursa ya mwisho kufikia makubaliano kabla ya kuzindua Operesheni ya Gideon's Chariots."...
Air Force One kabla haijatua Qatar, ilisindikizwa na F-15 za Qatar.
Walipotua, msafara wa magari uliongozwa na Cybertrucks nyekundu.
Ongezea na askari waliopanda ngamia.
Hawa Qatar naona...
Ndege kutoka Abu Dhabi ilitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Ramon huko Eilat Israel kuchukua Wagaza 600 kama sehemu ya mradi wa uhamiaji wa hiari.
Gaza wanatakiwa wabakie Magaidi tu ili wafyekwe...
Magaidi wa Houthi wanaendelea kuchezea shurubu za SIMBA kwa kurusha kombola la Balistic nchini Israel na limepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Rais Donald Trump na Emir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani walitia saini mikataba mikuu ya ulinzi na kiuchumi inayolenga kuimarisha uwezo wa kijeshi wa Qatar na kuimarisha uhusiano wa...
Usiku wa kuamkia leo Magaidi wa Hamas wamepata kipondo cha kufa mtu, Kipondo hicho ni katika maandalizi Operation pendwa ya Gideon’s Chariots inayotarajiwa kuanza mara tu baada ya ziara ya Trump...
Mzuka wana jamvi ??
Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana.
Tukianza na...
CIA iliweka mezani kiasi cha fedha za kimarekani $10 million kwa yoyote atakaye mpata Muhammad Al-Jawlani
https://x.com/USEmbassySyria/status/864144602584035328?t=jV1xFNQFpYt4svya5WAz6w&s=19
Leo...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, amethibitisha kuwa Mahakama zimetakiwa kufuta vyama kadhaa vya kisiasa, kikiwemo chama cha PPRD (People’s...
Grok kwa siku kadhaa zilizopita ilikuwa ikiambatanisha sentensi zinazungumzia mauaji ya kimbari ya watu weupe katika kila jibu lake hata katika mambo yasiyohusiana na jambo hilo!
IDF hawacheki na wowote. Pamoja na Hamas kwa sasa kujaribu kuchagua viongozi wao kimya kimya bado IDF wanapoamua kuwa check wanawacheck tu.
Kaka yake Mohammad alifumuliwa komwe na hao Mayahudi...
Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani.
Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo.
Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa...
Sio kwa mapenzi haya. Hapo ni Emirates Trump katua leo baada ya kutoka ziara Qatar. Wamempangia Trump warembo wa kiarabu vichwa wazi, wakizunguka kwa madaha mbele ya mkuu. Ingawa mkuu anawaza hela...
Moscow: Jenarali katili aliye iadhibu Ukraine pamoja na Wanamgambo wa NATO na kufanikiwa kuteka miji muhimu huko Ukraine ameamua kupunguza uzito kg 40 na kubaki na mwili mwepesi kiutendaji...