International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Uchunguzi wa IDF: Sajenti Yosef Yehuda Chirak aliuawa kwa risasi rafiki(Friendly-Fire) Uchunguzi wa awali uligundua kuwa wakati SGT Chirak alipokuwa akifanya kazi ya kukagua shimo la handaki...
0 Reactions
7 Replies
808 Views
Baadhi ya waandamanaji wanaoipinga Hamas wanaelezea kuwa kwa sasa Gaza si sehem salama kuishi hivyo wanaomba wapelekwe Libya au sehemu nyingine kuishi
1 Reactions
3 Replies
343 Views
Video kama hii Aljazeera hawawezi kuionyesha maana itawaumbua unafiki wao!!!
5 Reactions
9 Replies
500 Views
Recently, there have been incidents where citizens from member countries have been traveling into countries territories to visit or for leisure and staying in hotels. Some citizens have been...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Kwa nini Tanzania tuliisaidia ANC kwa hali na mali kupambana na serikali ya makaburu Africa Kusini? Je Tanzania tulipoisaidia ANC dhidi ya utawala Makaburu tulikuwa sahihi kama nchi kuingilia...
1 Reactions
13 Replies
717 Views
Huyu proffesor wa dini ya Kiislam alikuwa ana kitengo gani ndani ya Hamas mpaka kushambuliwa na IDF ? Wataalam karibuni
1 Reactions
76 Replies
2K Views
Waziri Mkuu amewaita wanachama wakuu wa timu ya Doha kutokana na 'Hamas kukataa' makubaliano hayo kwa kuzingatia mfumo wa Witkoff, na kuwaacha nyuma baadhi ya wawakilishi. Waziri Mkuu Benjamin...
1 Reactions
4 Replies
477 Views
IDF ilitambua kombora lililorushwa kuelekea Israeli kutoka Yemen na magaidi wa Houthi ambalo liliangukia eneo la ardhi ya Saudi Arabia bila kudunguliwa siku ya Jumatano, kulingana na ripoti katika...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Kufuatia sekeseke la machafuko na mgogoro wa kisiasa mara baada ya uchaguzi, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mchakato wa majadiliano/makubaliano ya kurejesha amani nchini Kenya...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Unaposifiwa na Hamas - shirika la kigaidi la jihadi ambalo linaua watoto na kuwabaka wanawake - uko upande mbaya wa historia. Ni fedheha iliyoje kusifiwa na magaidi? Ufaransa,Uingereza,Kanada na...
0 Reactions
4 Replies
394 Views
Mtangazaji wa BBC idhaa ya kiarabu alivyokuwa akijaribu kuuficha ukweli kwa ya nayo endelea huko Gaza Anaficha ukweli kuhusu Njaa ya kutengeneza huko Gaza kwa kuonyesha video za watoto...
1 Reactions
8 Replies
641 Views
Hali halisi ni tofauti na mitandaoni, Traoré amejijengea umaarufu mkubwa mtandaoni na kimataifa kwa msimamo wake mkali wa kupinga na kupunguza ushawishi wa super powers hasa Ufaransa na...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin. Sasa umkute anaonana na Blacks...
16 Reactions
93 Replies
6K Views
Katika operesheni ya siri, Mossad ya Israel imepata karibu vitu 2,500 vya kibinafsi na vinavyohusiana na ujasusi ambavyo vilikuwa vya jasusi maarufu wa Israeli Eli Cohen, ambaye aliuawa nchini...
7 Reactions
72 Replies
4K Views
Wakuu, Kikundi cha wanamgambo wa Kiislamu kinachohusiana na Al Qaeda, JNIM, kimedai kuhusika na shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi katika jimbo la Loroum kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo...
7 Reactions
174 Replies
8K Views
Uongozi wa Mtandao huo umekiri kuwa Wadukuzi walifanikiwa kuingilia akaunti za watu maarufu wakiwemo Barack Obama, Elon Musk, Kanye West pamoja na Bill Gates Akaunti hizo zenye idadi kubwa ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Upigaji kura kwa njia ya Mtandao katika Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Conservative ili kumpata Mrithi wa Boris Johnson umecheleweshwa baada ya wataalamu wa Mtandao wa Serikali kuibua wasiwasi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hizo nchi inajulikana wananchi wao hawaogopi vyombo vya usalama, wapo tayari kupambana hata na wanajeshi au polisi pale wanapoona hawatendewi haki. Kenya tumetoka shuhudia juzi hapa vijana wadogo...
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Makumbusho yaliyojengwa kwa ajili ya kumbukumbu ya Kapteni Thomas Sankara na wenzake 12 waliouwawa pamoja hatimaye yamezinduliwa rasmi. Makumbusho hayo yamezinduliwa mnamo tarehe 17 Mei 2025...
1 Reactions
1 Replies
420 Views
Wanaukumbi. Afisa mkuu wa Hamas aliiambia CNN Jumapili kwamba kundi hilo liko tayari kuwaachilia mateka saba hadi tisa wa Israeli ili kubadilishana na usitishaji mapigano wa miezi miwili huko...
3 Reactions
62 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…