Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameelezea kuwa Israeli itaendelea kudhibiti Gaza nzima licha ya shinikizo la kimataifa ambalo linaitaka kuondoa kizuizi cha vifaa vya misaada ambacho kimeiacha eneo...
Saudi Arabia imeionya Iran kufikia makubaliano ya nyuklia na Trump au kuhatarisha mashambulizi ya Israel.
Waziri wa Ulinzi wa Saudi Arabia alitoa ujumbe mzito kwa maafisa wa Iran mjini Tehran...
Tarehe 25 Mei inatimia miaka mitano tangu Mmarekani mwenye asili ya Afrika George Floyd auawe na polisi kwa kukabwa na goti.
Tukio hili lilisababisha maandamano makubwa kote Marekani na hata...
Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano...
Wakuna race iliyoua waafrica wengi toka dunia iumbwe zaidi ya wazungu, wametufanyia Kila hila kila nyanyaso na Kila ubaya lkn ukikaa vijiwe vya kahawa unakuta ngozi nyani/Tako zinakaa zinaionea...
Hamas yaua raia 5 wa Gaza waliovamia ghala la misaada huko Gaza
Mapema leo, mamia ya wakaazi wa Gaza walivamia ghala kubwa katikati mwa Gaza, linalotumiwa na Hamas kuweka akiba ya chakula kingi...
Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China, hususan wale wanaohusishwa na Chama cha Kikomunisti cha China au wanaosomea fani zinazotajwa kuwa nyeti kwa usalama wa...
===
Afisa mmoja wa Saudi Arabia alikanusha Jumatatu taarifa za vyombo vya habari zilizodai kuwa ufalme huo, ambao ni mahali palipozaliwa Uislamu, ungeondoa marufuku ya miaka 73 dhidi ya pombe...
Mapema jioni hii Yemen ilirusha kombora la balistiki kwa Israel na safari hii mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel wa Arrow interceptor likipaa na kulidunga kombora la balistiki. Wakati kwenye uwanja...
Waarabu na Waafrika kazi yetu kuhubiri ngono, kuzaliana lakini kwenye elimu hatumo...
Kuna wale huwa mnasema Waarabu wako vizuri kisa wana mafuta, mnasahau hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na...
China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! 🤯
Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7G😀
Sisi huku Afrika...
Mwanaharakati wa umoja wa mataifa mahususi kufuatilia maslahi ya wapalestina bi Francesca Albanese ameungana na Webabu na taasisi 761 duniani kote ili upatikane msafara mkubwa wa kuingia ndani ya...
Msemaji wa Ikulu ya Urusi Dmitry Peskov, amesema rais Vladimir Puin hana mipango yoyote ya kuzungumza na rais wa Marekani Donald.
Hivi Karibuni Trump ameonesha hadharani kukasirika kwake na rais...
Jana baada ya Israel kutoa amri ya watu kuhama kwenye maeneo yao na kwenda sehemu nyingine walioelekezwa, Majeshi ya Israel 🇮🇱 jiani talia za kugawa maji na bites kwa wanawake na watoto waliokuwa...
Tuliwambia Yemen hajawahi kushindwa vita USA ilibidi apige mogoti kwa njia ya Oman, alijipeleka kumsaidia Israel kuiondolea blockade alio wekewa kule Red Sea kipigo alicho kipata kutoka kwa Al...
Wakuu na wajuzi wa mambo Nyani Ngabu , Mayor Quimby Kiranga I huyu mtoto wa Elon Musk ana umuhimu gani kwenye shughuli za Trump maana kwenye ziara nzito za Trump na yeye huwa yupo tu. Naomba...
"Kitu ambacho Vladimir Putin hajui ni kuwa kama sio mimi mambo mengi mabaya yangekuwa yameitokea Urusi, namaanisha MAMBO MABAYA. Anacheza na moto!
Donald J. Trump
Rais wa Marekani
Mei 27, 2025...
Wadau hamjamboni nyote? The Israeli Air Force is carrying out strikes on the Houthi-held Sanaa International Airport in Yemen, according to local media.
The strikes come after repeated...
Bilionea wa teknolojia Elon Musk ametangaza kuwa anaondoka katika utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, ambako aliongoza mradi wa miezi kadhaa wa kupunguza gharama katika serikali ya...
Tayari minong'ono imesambaa kushangazwa na ushujaa wa wapalestina katika kutetea ardhi na imani zao.
Viongozi wote wakuu wa Hamas kwa mujibu wa Israel wameshauliwa mpaka makamanda wadogo wadogo...