Kesho tarehe 6 Juni, 2025, ni siku ambayo nchi ya Burundi itakuwa na uchaguzi wa wabunge nchi nzima.
Burundi, mojawapo wa nchi za jumuia ya Africa Mashariki, kwa miaka mingi, ilikumbwa na ghasia...
*Zoezi la uchaguzi lililotarajiwa saa kumi na mbili asubuhi, kuna vituo limeanza saa kumi alfajili.
*Badhi ya maeneo, waliojitokeza kushiriki zoezi la kupiga kula, wamelalamikia vitendo vichafu...
Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa Operesheni za kijeshi huko Gaza .wafanyikazi wa ujenzi wa China wanarejea Israeli. Takriban wafanyikazi 1,000 tayari wametua, kuashiria mwanzo wa wimbi kubwa la...
Wakati Marekani na Israel wakiendelea na kuwamaliza wapalestina kwa mabomu na njaa,Watu waliobaki na ubinadamu duniani wanazidi kutafuta mbinu za kufika Gaza kuwaokoa wahanga hao.
Huku msafara...
Trump na Elon sasa hawaivi, maadui kabisa!
Epstein files ni kitu gani? zina nini ndani? Umuhimu wake ni nini?
Nimejaribu kutafuta kwenye mitandao nikapata kitu kama hiki , na nikiri sikufanya...
Trump apiga marufuku raia wa nchi 10 za Afrika kusafiri kwenda Marekani.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema hatua hiyo inalenga kuwalinda Wamarekani dhidi ya vitisho vya usalama vya "kigeni"...
Wadau hamjamboni nyote? Three Israeli soldiers were killed and two were wounded by an explosive device during operations in northern Gaza’s Jabalia yesterday evening, the military announces...
Habari za jioni,
Wakati wa misheni ya kiutendaji ya askari kutoka kwa Kikosi cha Kupambana na Kikosi cha Makomando, askari wetu wanne w alifariki katika mapigano asubuhi ya leo - Staff Sajenti...
Wanajeshi 4 wa IDF wameuawa na wengine 5 kujeruhiwa baada ya jengo lililokuwa limetek wa milipuko kusini mwa Gaza kuporomoka.
Wanajeshi wanne wa Israel wameuawa na watano kujeruhiwa na mlipuko...
Kufuatia operesheni maalum ya IDF na Shin Bet katika eneo la Rafah, mwili wa marehemu Natthapong Phintha, ambaye alitekwa nyara kutoka Kibbutz Nir Oz mnamo Oktoba 7, umerudishwa Israeli...
Trump na Musk wanafanya biashara ya matusi huku mzozo ukizuka hadharani
Mtafaruku kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na mshauri wake wa zamani Elon Musk umeibuka wazi, huku kila mmoja...
Yaani jamaa huwa wamejazwa ilmu ya dini, sio mchezo, mpaka mtu anaamua kujilipua......
Asuspected al-Shabab suicide bomber killed several people and wounded others Sunday in an attack on a...
Greta na marafiki wanakaribia Nchi Takatifu.
Israel tayari imeamua kwamba Kiherehere maarufu huyo hatafika ufuo wa Gaza. Atapigwa na kitu kizito hukohuko!!
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anashutumu hatua za Israel huko Gaza kuwa "haziwezi kuvumilika" na kutishia vikwazo zaidi, huku akipuuza ugaidi wa Hamas na mgogoro unaoendelea wa mateka...
Wanaukumbi.
Israel’s Prime Minister Benjamin Netanyahu has said the country is using armed gangs in Gaza to help fight Hamas, his admission coming after a new wave of military strikes on the...
NATO wana ofisi( liaison officer) kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika ( AU) yaliyopo Addis Ababa Ethiopia.
Ofisi za NATO ziko hapo tangu mwaka 2015. Viongozi wanaouhusika na masuala ya kijeshi...
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kupiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani.
Nchi zilizopigwa marufuku kwa raia wao kuingia Marekani ni Afghanistan, Myanmar, Chad, Republic of the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.