Iran na Marekani wajibizana kuhusu Nuclear huko Iran

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
8,994
Reaction score
7,616
Toka jana na leo Mafahali wawili walikuwa wakijibizana maneno lakini Mwamba waziri Mkuu wa Israel amekuwa kimya sana na kama tujuavyo kimya Kingi kina Mushi do mkubwa.

Maji Iza hayo ya Iran na Marekani yanaashiria maendeleo makubwa na muhimu. Hapa kuna muhtasari wa haraka:

1. Trump aliweka wazi: "HATUTARUHUSU UTAJIRI WOWOTE WA URANIUM!"

2. Katika kujibu, Khamenei aliongea kwa kujiamini asubuhi ya leo, na kutangaza kwamba Marekani haiwezi kudhoofisha mpango wa nyuklia wa Iran na kusema kwa uthabiti: "Tehran haitaacha kazi yake ya kurutubisha uranium."
Aliongeza, "Leo, tuna uwezo wa kuzalisha mafuta ya nyuklia kuanzia kwenye handaki na hadi kwenye kituo cha kuzalisha umeme."

3. Mohammad Eslami, mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran, alisisitiza ujumbe huo:
"Tutaendelea kurutubisha uranium nchini Iran kwa nguvu zetu zote, kwa nguvu na azma."

Kwa kifupi, raia wa Irani itakuwa busara kujiweka mbali iwezekanavyo na maeneo yoyote ya nyuklia maana ukimya wa Israel si wa kubezwa hata kidogo!!
IMG_3155.jpeg
 
Wabongo huwa manajitoa ufaham kuhusu hicho kikoloni kinachoitwa israel .. ukiondoa usa hapo hakitakuwa tofauti na jordan iliyochangamka
 
Toka jana na leo Mafahali wawili walikuwa wakijibizana maneno lakini Mwamba waziri Mkuu wa Israel amekuwa kimya sana na kama tujuavyo kimya Kingi kina Mushi do mkubwa.

Maji Iza hayo ya Iran na Marekani yanaashiria maendeleo makubwa na muhimu. Hapa kuna muhtasari wa haraka:

1. Trump aliweka wazi: "HATUTARUHUSU UTAJIRI WOWOTE WA URANIUM!"

2. Katika kujibu, Khamenei aliongea kwa kujiamini asubuhi ya leo, na kutangaza kwamba Marekani haiwezi kudhoofisha mpango wa nyuklia wa Iran na kusema kwa uthabiti: "Tehran haitaacha kazi yake ya kurutubisha uranium."
Aliongeza, "Leo, tuna uwezo wa kuzalisha mafuta ya nyuklia kuanzia kwenye handaki na hadi kwenye kituo cha kuzalisha umeme."

3. Mohammad Eslami, mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran, alisisitiza ujumbe huo:
"Tutaendelea kurutubisha uranium nchini Iran kwa nguvu zetu zote, kwa nguvu na azma."

Kwa kifupi, raia wa Irani itakuwa busara kujiweka mbali iwezekanavyo na maeneo yoyote ya nyuklia maana ukimya wa Israel si wa kubezwa hata kidogo!!View attachment 3356491
Israel toka kalambwa Makofi na IRAN Mashavu yote Mawili ataki tena kusikia kuusu IRAN !!!!

wewe tu ndio ujaelewa mchezo ulivokaa kwasasa Israel kakubali kuchutama kwa Iran,,
 
Tramp mwenyewe kajifichia kwenye Vikwazo sio Chaguo la Kijesh !!

Wanajua Iran ndio inawatafuta wao Wajae kwenye Mfumo!!!!

IRAN kashaweka wazi kwa Dunia yakuwa Mifumo yote ya Ulinzi ya Marekani aiwezi kuzuiya Makombora ya Iran !!!

Sasa Marekani itaendaje kwa Mfano.!!!!

Ikachakazwe tu.

Marekani hiii imetupa taulo kwenye Pambano na YEMEN!!!

Haaaaaaaaa hatari
 
USA ana wasi wasi na Iran anaweza kua ameshakamilisha Nuclear ukajichanganya ndo maana unaona wametulia
 
Israel toka kalambwa Makofi na IRAN Mashavu yote Mawili ataki tena kusikia kuusu IRAN !!!!

wewe tu ndio ujaelewa mchezo ulivokaa kwasasa Israel kakubali kuchutama kwa Iran,,
Baada ya makofi yake Iran kwa Israel, alijiapiza ole wake Israel akirudisha hata kofi moja tu, kitakachomkuta, hatokaa asahau, maana nchi hiyo itafutwa kabisa

Israel siyo mnyonge bhana, katuma mabinti wake, Irani kachezea sana, tena siyo kofi...! Kachezea mangumi ya kutosha

Mpaka leo kemeneh kimyaaa, hakujaribu tena kukohoa!
 
Wabongo huwa manajitoa ufaham kuhusu hicho kikoloni kinachoitwa israel .. ukiondoa usa hapo hakitakuwa tofauti na jordan iliyochangamka
Hamuachi visingizio? US amekuwa Mungu wenu!!! Kila mnaposhindwa hamuachi kumtaja US!!!
 
The halyson days of the Iranian despotic regime are quickly drawing to an end and the limbless people of Iran are beginning to see the light at the end of the tunnel.
 
Back
Top Bottom