Khamenei ahamisha mamlaka kwa kamanda mkuu wa IRGC Iran kuwa Kiongozi Mkuu Ali Khamenei amekabidhi madaraka muhimu kwa Baraza Kuu la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC), huku kukiwa na kutokuwepo kwa...
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Marekani inaweza kumuua Supreme Leader Ali Khamenei kwasababu ni "easy target" na inajua wapi alipo ila haitafanya kwa sasa
======
Trump: US could kill...
Siku moja baada ya Israel kushambulia Iran siku ya Ijumaa, ndege ya mizigo ilipaa kutoka China.
Siku iliyofuata, ndege ya pili iliondoka kutoka mji wa pwani, Kisha Jumatatu, nyingine ikaondoka...
Wakuu,
Katika tukio la kihistoria la uchaguzi mkuu wa Ghana, John Mahama, Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani cha National Democratic Congress (NDC), amerejea madarakani baada ya...
Picha: Rais wa zamani wa Ghana, John Mahama
Rais wa zamani wa Ghana, John Mahama alipitishwa na Chama kikuu cha upinzani nchini Ghana National Democratic Congress, kuwa mgombea wake mwaka 2024...
Mossad walishatathimini uwezo wa Iran kabla ya kuanzisha vita. Walianzisha vita baada ya kuhesabu garama. Walijua kwamba Iran itajibu kwa kishindo kulingana na uwezo ilionao wa makombora. Na ndio...
Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali wakiwemo Mawaziri ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza matumizi ya Serikali...
By JERUSALEM POST STAFF AND YONAH JEREMY BOB JUNE 19, 2025 15:31
BEN HAKOON/FLASH90)
Israel Fire and Rescue Authority sent out an urgent message saying that some of the miniature warheads...
Siku moja baada ya Israel kushambulia Iran siku ya Ijumaa, ndege ya mizigo ilipaa kutoka China.
Siku iliyofuata, ndege ya pili iliondoka kutoka mji wa pwani, Kisha Jumatatu, nyingine ikaondoka...
Taarifa kutoka nchini Iran zimesema kuwa leo siku ya Alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani Iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye...
Akitembelea eneo la shambulizi la kombora la asubuhi ya leo huko Holon, Waziri wa Ulinzi Israel Katz anasema Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ni "Hitler wa kisasa" na "hawezi kuendelea...
15 minutes ago
Khamenei appoints new Revolutionary Guards ground forces chief
Iran’s Supreme Leader Ali Khamenei appointed Mohammad Karami as the new commander of the Islamic Revolutionary Guard...
Trump scoffs at Putin’s offer to help mediate Israel-Iran conflict: ‘Do me a favor, mediate your own’
By AFP
Today, 7:03 pm
US President Donald Trump meets with Russian President Vladimir Putin...
Imechukua siku tatu tu Marekani kuingia kwenye vita kumsaidia Israel ila mpaka sasa Russia anaangakia mshirika wake anapigwa na watu kibao.
Jeshi la Marekani lina jisifu kuthibit anga ya Iran, na...
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na...
Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti Jumatano kwamba Israel ilidukua kwa muda matangazo ya televisheni ya taifa, na kuonyesha picha za maandamano ya wanawake pamoja na wito kwa wananchi...
Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu...
Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that...
Sasa hivi Israel inapiga chochote kinachotumika kurusha au kusafirisha mizinga maana imepiga maeneo yote rasmi ambayo hutumika kurusha mizinga, Iran imesalia kutumia malori ya kawaida.....
The...
Trump alijaribu kumchimba mkwara Ayatollah.
Leo kapewa majibu yake na mzee.
Maneno ya Ayatollah:
The US President threatens us. With his absurd rhetoric, he demands that the Iranian people...
Tarehe 18 Juni 2025, timu za wataalamu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Jamhuri ya Rwanda ziliweka saini ya awali kwenye maandiko ya Mkataba wa Amani, tukio lililoshuhudiwa na...