International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Iran si ya kutishwa kama walivyo dhani, leo Trump kisha anza kufyata mkia anasema umvunilivu wa Iran hata USA hauwezi. Mmefahamu au bado, anakusudia siwezi ingia direct vita na Iran sababu...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Salamu wakuu, Huu ni mshangao wangu na watu wengi kuona Irani inapigwa alafu Urusi yupo kimya hajasema lolote mpaka sasa. Kwangu mimi nilitegemea mashambuluzi ya marwkani itakuwa ndo sababu ya...
0 Reactions
10 Replies
632 Views
B-52 Stratofortress ni ndege kubwa za kijeshi za Marekani, zilizotengenezwa na kampuni ya Boeing. Hizi ndege zenye nguvu zina historia ndefu na zinajulikana kwa uwezo wao wa kubeba silaha kubwa na...
2 Reactions
1 Replies
367 Views
Tujifunge mkanda mazee!!! https://x.com/BRICSinfo/status/1936773441832513712 BREAKING: The Iranian parliament has unanimously reached the decision to close the Strait of Hormuz. Now the final...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kufuatia mabomu ya Marekani kuharibu vinu vyote vya nuklia vya Iran Waziri wa mambo ya nje wa Iran ameitwa Moscow Naendelea kufuatilia utabiri wa askofu Gamanywa kwamba hii ni vita ya Gogu na...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha...
12 Reactions
87 Replies
4K Views
Katika muendelezo wa kuikomboa Israel kutokana na tishio la kufutwa kwenye ramani ya dunia, inaendelea kuhakikisha watakaobaki Iran hawatawahi kuwa na wazo kama hilo, hii itakua funzo pia kwa...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Marekani imeishambulia maeneo ya nyuklia ya Iran kwa makombora ya B-2 , amesema afisa wa Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump anasema Marekani imekamilisha mashambulizi kwenye maeneo matatu...
3 Reactions
52 Replies
2K Views
Binafsi ninaona kitendo cha USA kuipiga Iran km sehemu ya kuungana na Israel ni mwanzo wa vita kuu ya 3 ya dunia. Kwanza Washirika wote wa Iran akiwemo Russia ilishaonya mapema mpango wowote wa...
1 Reactions
14 Replies
767 Views
Washington Post: Marekani inaogopa nguvu za kijeshi za Iran Gazeti la Washington Post limeashiria jinsi Marekani ilivyorudi nyuma kutoka eneo la Ghuba ya Uajemi katika miezi kadhaa iliyopita na...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Congo ndo kila kitu. Nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali pengine ndo inaoongoza Dunia nzima.congo ndo njiapanda ya utajiri. Congo ndo chanzo cha Africa kugawanywa ndo chanzo cha mkutano wa...
2 Reactions
8 Replies
637 Views
Nimechunguza kwa muda mrefu nimegundua kuwa Marekani inatawaliwa na Israel. Israel ina nguvu kubwa kuliko katika siasa za Marekani. Kwa wasio fahamu Israel iliwahi pia kushambulia meli ya kivita...
3 Reactions
11 Replies
749 Views
Huyu ana demonstrate kitaalamu jinsi ya kukwepa wasiuliwe na mabomu ya makafir ya Mayahudi na Mamarekani kwa kupiga msamba aka kusambika. Hii mbinu imeonekana ni nzuri na inafaa. Na ukimwangalia...
6 Reactions
10 Replies
855 Views
Tayri wananchi wa US wameanza kushinikiza kuondoka kwa donald trump kwa kuanzisha maandamano.
3 Reactions
8 Replies
798 Views
Huyu mzee anajua kilemba chake sasa ndio kimebaki baada ya manyuklia kusambaratishwa, ameingia mitini, anaongea kwa kupitia msaidizi, hataki kuwahishwa kwenda kwa mabikira. Hezbollah supporters...
1 Reactions
6 Replies
534 Views
Mikwara ya makobaz humu kuna wakati hunibabaisha sana, muda wote nilikua na uwoga hawa jamaa labda kuna kitu wanakijua ambacho hatukijui, aidha labda Iran ina uwezo wa kubonyeza na kufyatua...
7 Reactions
15 Replies
777 Views
Kuna jambo gani unadhani Iran au Israel wanafanya ambalo ni zuri au baya bila wewe kuweka propaganda za mitizamo yako kutokana na dini uliyomo? Kwa mfano mambo haya yafuatayo unayaonaje kuhusu...
3 Reactions
18 Replies
594 Views
Kuanzia uvamizi wa Urusi kwa Ukraine uzito na mwitiko wa yale matamko yake ya kulaani vita na vurugu yameendelea kupungua kusikika kwake na kuwa mepesi sana, Trump alipoingia madarakani kipindi...
0 Reactions
1 Replies
269 Views
Kwa bahati mbaya Iran wao hawaoneshi kinachotokea kwao. Sijui Wana Hali gani Wallah..!
0 Reactions
3 Replies
539 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mpango maalumu tayari umeshaandaliwa unaitwa "maximum pressure 2.0” plan, ndani kuna njia kadhaa ikiwemo ya kuishambulia Iran kwa ndege za kijeshi. Taarifa kamili hapo...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…