Trump amjibu vikali Ayatollah kwa hasira

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,669
Reaction score
27,559
TRUMP AMJIBU VIKALI AYATOLLAH KWA HASIRA

Rais wa wa Marekani, Donald J. Trump, ametoa kauli kali dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kufuatia matamshi ya Ayatollah aliyodai kuwa Iran ilishinda vita dhidi ya Israel.

Trump alisema:
"Ni kwa nini mtu anayejiita 'Kiongozi Mkuu' wa taifa lililoharibiwa na vita kama Iran, atamke kwa wazi na kwa njia ya kejeli kuwa ameshinda vita dhidi ya Israel, ilhali anajua ukweli ni tofauti? Kama kiongozi wa kiroho, hafai kusema uongo. Taifa lake limeharibiwa. Vituo vyake vya nyuklia viliharibiwa kabisa. Nilijua alipojificha, na lau si uamuzi wangu wa busara, nisingeruhusu Israel, wala Jeshi la Marekani — jeshi kubwa na lenye nguvu zaidi duniani — kuingilia na kuangamiza maisha yake. Kwa hakika, nilimnusuru dhidi ya kifo kibaya. Je, hastahili kusema: 'Asante Rais Trump?'"

Trump aliendelea kufichua kuwa katika hatua za mwisho za mzozo huo, aliamuru ndege za kijeshi za Israel ambazo zilikuwa zikielekea moja kwa moja Tehran, zirejee. Alisema shambulio hilo lingeweza kusababisha maangamizi makubwa, likiua raia wengi wa Iran na kuwa mojawapo ya mashambulizi mabaya zaidi kuwahi kutokea.

"Hivi karibuni nilikuwa nikijaribu kuweka mazingira ya kuondoa vikwazo dhidi ya Iran, hatua ambayo ingewasaidia kiuchumi na kurudisha hali ya kawaida. Vikwazo vinawaumiza sana! Lakini badala ya kujibu kwa busara, walikuja na kauli za chuki na hasira. Hivyo nikaamua kusitisha juhudi zote kuhusu msamaha wa vikwazo. Iran inapaswa kurudi katika utaratibu wa dunia au ijitayarishe kukumbana na hali mbaya zaidi," aliongeza.

Trump alikosoa zaidi hali ya taifa hilo, akisema:
"Wamejaa hasira, chuki, na hawana furaha. Matokeo yake ni taifa lililoharibika, uchumi ulioporomoka, jeshi lililodhoofika, na kifo kinachowazunguka. Wanazidi kupoteza matumaini. Hali yao itazidi kuwa mbaya zaidi ikiwa hawatabadilika."

Alihitimisha kwa kusema:
"Laiti viongozi wa Iran wangetambua kuwa mara nyingi hupata asali zaidi kwa kutumia maneno matamu badala ya siki kali. AMANI!"

Ningependa kuwaambia wale wote waliokuwa wakiamini baadhi ya kauli za Trump kuhusu Israel kuwa pia wazingatie kauli hii mpya aliyoitoa kuhusu Ayatollah na Iran. Nilipotoa mtazamo wangu awali kuhusu hali ya Mashariki ya Kati, nilikumbana na matusi na kejeli. Nilijua tu kuwa kwa hulka yake ya kusema mambo waziwazi, Trump angeibuka na taarifa nyingine na sasa imejidhihirisha.

Asante
 
Waoooooooo
 
Kichwa Pumbu wewe, inaonekana hio lugha ilikupita kushoto
Rudi shule..
 
"Je, hastahili kusema: 'Asante Rais Trump?'"

Hahaha! Trump anapenda kutukuzwa!
 
Trumpet ni chizi ...yeye sio Mungu eti kamnusuru mzee wa watu na kifo...atakufa yeye kabla ya huyo mzee.
 
kilaza wewe usitoke kwenye reli, kaa humohumo muda ulishakupita...ulikimbia umande
Tatizo kobaz mnaamini ukifa huko mbele kuna bikra 72 za kujilia ndio maana mnakuwa na hamu ya kufa na sometimes kujilipua
 
Trump amekuwa kama mzaramo anachotakiwa kujua ni kwamba hawez kushindana na kobaz Kwa maneno maneno aige mfano wa Israel maneno kidgo vitendo Kwa wingi.
 
Trumpet ni chizi ...yeye sio Mungu eti kamnusuru mzee wa watu na kifo...atakufa yeye kabla ya huyo mzee.
Hasira zote za Trump zinatokana na nini hasa? Mwanzo kabisa alianza kuzozana na Vyombo vya habari vya Taifa lake vilivyo sema Merikani haikufanikiwa sana kuharibu vinu vya Nuclear vya Iran - walisema Wairan wanaweza kuvifufua/karabati vinu hivyo ndani ya muda mfupi SANA, sasa hilo lilimkasirisha sana Trump kuliko hata Natenyahu, sijui kwa NINI???
 
Back
Top Bottom