International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Marekani Donald Trump ameamua kuiuzia Ukraine silaha za kukabiliana na makombora ya Urusi pamoja na kushambulia pia vikosi vya Urusi. Vifaa hivi vitalipiwa na nchi za Ulaya. Haya ni...
1 Reactions
5 Replies
981 Views
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amemfungulia mashtaka mwandishi maarufu wa habari kutoka nchini Marekani Candace Owens kwa kutoa taarifa za kupotosha kuwa mke wa Rais Macron , Brigitte Macron ni...
6 Reactions
94 Replies
4K Views
Operation Dudula which is currently perceived as nationalistic movement against foreign nationals in South Africa is tarnishing the image of the country. Many People are now living in fear...
1 Reactions
20 Replies
962 Views
Sikutegemea kwamba itafika stage kwenye hii vita ,wapalestina wanakufa kwa njaa. Mashirika na jumuiya za kimataifa ziingilie kati tu kumaliza hii vita. Nchi za kiarabu zisikae kimya pazeni...
10 Reactions
168 Replies
5K Views
Raisi Trump hapo juzi akiwa Scotland alimtaka mwenzake Netanyahu amalize kazi ya Gaza kwa kuwaangamiza Hamas. Kwa maelezo yake aliyoyatoa hadharani alisema Hamas wamechagua kufa hivyo ni vyema...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Mvutano mkali ulitokea ndani ya Bunge la Mkoa wa Punjab, Pakistan, siku ya Jumatatu, baada ya mbunge wa chama cha Pakistan Tehreek-e-Insaf (PTI), Khalid Nisar Dogar, kumshambulia kimwili mbunge wa...
1 Reactions
3 Replies
373 Views
Siku hizi ukitaja jina la Allah sehemu yenye watu lazima ukimbiwe, aisei hizi nyakati ni mbovu sana na zilitabiriwa kwenye Biblia na tunazishudia, tutaishi kwa hofu sana. Jamaa amesababisha...
22 Reactions
65 Replies
3K Views
Waisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu. Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi...
8 Reactions
85 Replies
2K Views
Niaje waungwana Ni week sasa imepita toka ilipotangazwa kwa njia ya uficho, kwamba waziri mkuu wa Israel mwenye asili ya Poland Mr Benjamin Shetaninyau alibugia chakula chenye sumu kali, na hivyo...
7 Reactions
116 Replies
4K Views
Masettler wa Kiyahudi huko West bank wameendelea na harrassment yao kwa Wakiristo waishio huko. Lengo ni kuwafrustrate Wakiristo hao ili waondoke katika ardhi hizo. Mashambulizi ya Masettler wa...
3 Reactions
27 Replies
793 Views
Kenneth Parks, mkazi wa Ontario, Kanada, alimuua mama mkwe wake akiwa amelala. Kenneth alikuwa na historia ya kufanya vitendo akiwa amelala (sleepwalking). Siku ya tukio, aliamka kitandani akiwa...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kikosi cha Wanahewa cha Marekani B-2 Spirit kinapaa kuunga mkono Operesheni MIDNIGHT HAMMER katoka Whiteman Air Force Base, Missouri, Juni 2025. Mgogoro nchini Iran 'Miaka 15 ya kazi ya...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu, Abiria wa ndege ya American Airlines walilazimika kuteremka kwa kutumia milango ya dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Denver baada ya tairi la ndege kuungua wakati wa jaribio...
2 Reactions
2 Replies
654 Views
Marekani imefikia makubaliano ya awali ya kibiashara na Umoja wa Ulaya siku ya July 27,2025, ambapo imeweka ushuru wa kuagiza bidhaa kutoka EU kwa kiwango cha asilimia 15 ikiwa ni nusu ya kiwango...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Waziri Mkuu wa Cambodia amesema kuwa lengo kuu la mazungumzo yanayotarajiwa kufanyika leo July 28, 2025 na Thailand ni kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano mara moja kufuatia mzozo mkali wa...
0 Reactions
3 Replies
363 Views
China inaendelea kuongoza katika masuala ya teknolojia ya akili mnemba (AI) ndani ya nchi za BRICS ikiwa na 47.2% ya tasnifu zilizotajwa zaidi za AI na kushika nafasi ya juu katika kuweka hataza...
3 Reactions
3 Replies
365 Views
Wakuu, Chama tawala cha Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), United Hearts Movement (MCU), kimemteua Rais wa sasa Faustin-Archange Touadera kuwa mgombea wake wa urais Jumamosi. Uamuzi huo umefikiwa...
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Spika wa Bunge Mohammad Bagher Ghalibaf ameunga mkono uamuzi wa kupiga marufuku matumizi ya simu za mkononi kwa wabunge, akieleza kuwa suala hilo linahusiana na masuala ya kiusalama. "Waheshimiwa...
0 Reactions
7 Replies
603 Views
Katika miaka ya hivi karibuni uwekezaji wa China katika miundombinu ya kidijitali, vituo vya data na nishati umekuwa ukiongezeka kwa kasi katika nchi mbalimbali duniani. Wakati maendeleo ya...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa na ushirikiano wa karibu na nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika. Ushirikiano huu unajumuisha sekta mbalimbali ikiwemo elimu, uchumi na...
1 Reactions
0 Replies
250 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…