Trump aiambia Israel iwamalize Hamas haraka

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Raisi Trump hapo juzi akiwa Scotland alimtaka mwenzake Netanyahu amalize kazi ya Gaza kwa kuwaangamiza Hamas.

Kwa maelezo yake aliyoyatoa hadharani alisema Hamas wamechagua kufa hivyo ni vyema wakauliwa.Kauli hiyo inafuatia Hamas kukataa masharti ya kumaliza vita yaliyoshinikizwa kwao na Marekani na Israel.

Matamshi hayo ya jeuri aliyoyatoa Trump huko Scotland ni baada ya kukimbia nchini kwake kwa aibu kutokana na kuhusika na mambo kiasherati aliyokuwa akiyafanya na Epstein.
 
Netanyahu na Trump kwa uwezo wa Allah wanaweza wakaondoka wakawawacha Hamas pale pale Gaza.
Acha kua mpumbavu ..umeshawaona watoto wanawake wanavyolia njaa wakiwa wameshika mabakuli? Wewe umekalisha mapumbu yako huku Tanzania Kuna amani unakula Hadi unajamba wakat mwingine unakunya Hadi unajaza choo, wenzio unawapump vita iendelee huoni watu wanateseka...
 
Kwani sababu ya hamas kuungurumisha makombora 5000 huijui mpaka kuzuka Kwa mzozo a huo,dai la msingi la palestina ni ardhi, yao waachiwe ardhi yao amani ipatikane rejeo ramani ya 1948
 
Lile tambara la FAUDA linaonyesha Hamas walivyo na nongwa la vita, Kwa lugha iliyonyooka Hamas ni Tatizo. Trump yuko sahihi
 
Naaam ayo ndo maneno sasa IDF anzeni kufukia Yale mashimo walipo jificha wale mapanya (hamaX)
 
Acha kua mpumbavu ..umeshawaona watoto wanawake wanavyolia njaa wakiwa wameshika mabakuli? Wewe umekalisha mapumbu yako huku Tanzania Kuna amani unakula Hadi unajamba wakat mwingine unakunya Hadi unajaza choo, wenzio unawapump vita iendelee huoni watu wanateseka...
Hivi aliyeleta amri 10 kwa mujibu wa biblia, si ni huyohuyo mungu wa israel? Na alizileta kwa watu wake israel. Akasema usiue, si ndio? Imekuwaje sasa anashindwa kulainisha mioyo ya wapalestina ili waondoke bila fujo hadi wauawe? Israel akiua, ni sawa. Ila wapalestina wakijitetea ni ugaidi. Si ndivyo unamaanisha?
 
Lile tambara la FAUDA linaonyesha Hamas walivyo na nongwa la vita, Kwa lugha iliyonyooka Hamas ni Tatizo. Trump yuko sahihi
HAMAS hajawahi kuwa tatizo,jishughulishe na kusoma zaidi kuhusu hiyo middle east utaelewa tu nani tatizo
 
Sasa hamas wakiisha si na vita inaisha,kwa hiyo ushauri wa Trump unafaa. ASIPUUZWE
Kwani ccm inavyowaua wapinzani.....unafikiri upinzani utaisha...

Fikiria hilo utapata jibu.....afu usiku acha kula ugali...!!
 
Raisi Trump hapo juzi akiwa Scotland alimtaka mwenzake Netanyahu amalize kazi ya Gaza kwa kuwaangamiza Hamas.

Kwa maelezo yake aliyoyatoa hadharani alisema Hamas wamechagua kufa hivyo ni vyema wakauliwa.Kauli hiyo inafuatia Hamas kukataa masharti ya kumaliza vita yaliyoshinikizwa kwao na Marekani na Israel.

Matamshi hayo ya jeuri aliyoyatoa Trump huko Scotland ni baada ya kukimbia nchini kwake kwa aibu kutokana na kuhusika na mambo kiasherati aliyokuwa akiyafanya na Epstein.
Ee UA kabisa wote... Magaidi
 
Back
Top Bottom