International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

I knew it was not because of marking errors, a miracle or new teachers. Since Magufuli came to power, civil servants know they must deliver. Seven of the bottom performing schools were from...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais Islam Karimov, wa Uzbekistan. nchi kutoka kati ya bara la Asia,amefariki dunia kwa ugonjwa wa kiharusi akiwa na umri wa miaka 78. Alitawala nchi yake kwa mpini wa chuma kwa zaidi ya robo...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Nchini Korea Kaskazini ili uweze kumiliki computer unahitaji kibali cha polisi na hivyo basi unatakiwa kuandika maelezo ya ni kwa nini uruhusiwe kumiliki computer. Vipi hapa Tanzania? Huduma ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Check out @realDonaldTrump's Tweet: Sasa hivi mambo yanaanza kubadilika taratibu baada ya Russia kutoa email zilizoonyeasha Hillary alipendelewa dhidi ya Ben Sander Sasa mambo yamebadilika...
9 Reactions
81 Replies
8K Views
Burkina Faso ni taifa linalopatikana Afrika magharibi na linakaliwa na wakazi wapatao 17.27 milioni (sensa report of 2014). Na limepakana na nchi ya Niger kwa kaskazini, Mali kwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Waziri wa Haki wa Gabon, Seraphim Moundounga ajiuzulu kufuatia utata wa matokeo ya uchaguzi wa urais nchini humo. ========= Gabon's justice minister resigned Monday over the government's refusal...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Spanish firefighters are battling a huge forest blaze on the Costa Blanca that has forced the evacuation of thousands of people including tourists. More than 300 firefighters have been deployed to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nchi ya Japan ambayo inaongoza kwa kuwa na vitega uchumi nchini Uingereza mapema leo, imetoa taarifa yake ya onyo kwamba ikiwa mazungumzo ya Brexit kati ya Uingereza na Jumuiya ya Ulaya EU...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Mama Teresa ambae amefanya kazi yake kwa wahindi maskini ametawazwa kuwa mtakatifu na Papa Franscis kwenye tafrija iliyofanyika Vatican. Papa amesema Mtakatifu Teresa amewalinda wanaoumwa...
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Baada ya uzinduzi wa safari ya teksi kupitia mtandao wa Uber, sasa kampuni ya Uber, imedokeza kuanzisha njia ya usafiri kupitia ndege maarufu Uber Chopper nchini Kenya. Kampuni hiyo inalenga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kundi moja la wanachama wa ANC nchini Afrika Kusini linapinga uongozi dhidi ya Jacob Zuma. Wanayaita maandamano hayo #OccupyLuthuliHouse,wakitaja makao makuu ya chama hicho mjini Johannesburg,mji...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Drones zitarahisisha sana mambo,imagine ulimwengu wa drones,kupishana tu juu angani kupelekea mteja bidhaa au kitu. ========= Domino's delivers pizza by drone in New Zealand See Domino's...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mahakama ya kikatiba nchini Zambia imetupilia mbali kesi ya mgombea wa urais wa chama cha upinzani cha United Party for National Development Hakainde Hichilema na mgombea mwenza Geofrey Bwalya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu 18 wanahofiwa kujeruhiwa baada ya eneo la maegesho ya magari kuporomoko katika mji wa Tel Aviv, Israel ========= TEL AVIV, Israel – A building collapsed in a Tel Aviv construction zone on...
0 Reactions
1 Replies
664 Views
Polisi katika mji wa Sao Paulo watumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji wanaopinga kuundolewa Rais Rousseff. ========== Police used tear gas on Sunday to disperse thousands of...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amerudi nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi hali iliyopelekea kuzuka taarifa kuhusu uimara wa afya yake na alipopata nafasi ya kuongea, alitania amepata uhai tena...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Raisi Robert Mugabe wa Zimbabwe leo aliamuru ndege iliyokuwa ikimpeleka nchini Indonesia siku ya Ijumaa igeuzie Dubai na kurudi Harare mara moja. Mzee Jongwe ambae ana umri wa miaka 92 ndiye...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Rwanda expects to boost its revenue earnings from tourism this year by 25.8 percent from 2015, helped by extra attractions including a new game park, an official told Reuters late on Friday. The...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Kagame has re-made Rwanda but he is far from re-making Rwandans. He has failed to check on his "strong men's" powers and authority. Such men like James Muson, Jack Nziza, James Kabarebe...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Raisi dikteta wa Uzbek,Islam Karimov(78) afariki dunia kutokana na stroke. Kwa mujibu wa Aljazeera,Raisi huyu anatuhumiwa kuminya upinzani, uhuru wa habari,kuua waandamanaji na pia inaripotiwa...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…