International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte, aliamuru kuuawa kwa wanasiasa wapinzani alipokuwa meya wa zamani wa Davao, mwanachama mmoja wa kikosi kilichopewa jukumu la kuwaua walanguzi wa biashara haramu...
0 Reactions
2 Replies
746 Views
The report says the UK diplomat spent almost entire career serving in Arab countries. British Ambassador to Saudi Arabia Simon Paul Collis and his wife Huda Mujarkech performed Haj this year...
1 Reactions
3 Replies
966 Views
Muammar Gaddafi aliuawa mwezi Oktoba 2011, wakati nchi za Magharibi ziliingilia kati kijeshi nchin mwake. Ripoti ya Bunge la Uingereza inakosoa vikali Ufaransa na Uingereza kuingilia kijeshi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Muungano wa Makanisa ya kikristo eneo la Mlima Kenya, umeapa kupinga warsha za malezi zinazopangwa na kundi lisilomwamini mungu hapa nchini la Atheist in Kenya. Warsha hizo zimetangazwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nchi nyingi za africa zimekuwa zikipiga hatua kubwa kimiuondo msingi hususan kwenye usafir wa mijini. Hizi hapa ni baadhi ya picha ndani ya ruti za Khartoum na mji wa Wadi-halfa
2 Reactions
56 Replies
8K Views
Mungu awarehemu wote walokutana na ukatili huu wa kimataifa! =========== Marekani inaadhimisha mwaka wa kumi na tano tangu shambulio la wapiganaji wa jihad la Septemba 11 ambalo liliwaua watu...
3 Reactions
77 Replies
8K Views
Msemaji wa kikosi cha anga cha Israel IAF Eli malka amesema hakuna ndege yoyote ya Israel iliyotunguliwa na vikosi vya Syria, kuwa taarifa zinazoonea kuhusu jambo hilo zipuuzwe ni propaganda na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
US-led coalition warplanes destroyed a factory in Iraq used by the Islamic State group to make chemical weapons, the Pentagon said Tuesday. The production center -- a converted pharmaceutical...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
IYADH, Saudi Arabia POLISI nchini Saudi Arabia wamemkamata mwanamume mmoja aliyempiga risasi mwanaume mtaalamu wa afya ya uzazi aliyemsaidia mkewe kujifungua mtoto akisema ni haramu kwa mwanamume...
7 Reactions
156 Replies
24K Views
Madaktari wametumia roboti ya kwanza kufanya upasuaji wa macho na kurejesha uwezo wa kuona kwa mgonjwa kwa mara ya kwanza duniani. Kundi la madaktari kutoka hospitalia ya John Radclife nchini...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Maelfu wahamishwa, safari zasimamishwa Kusini mwa Taiwan kufuatia upepo mkali unaovuma kasi ya 370kph. ========== Hong Kong (CNN) Hundreds of people have been evacuated in southern Taiwan and...
0 Reactions
2 Replies
809 Views
Rais wa Gabon, Ali Bongo Ondimba amekubali ushauri wa kuhesabiwa upya kura za uchaguzi uliofanyika hivi karibuni na kuzusha machafuko baada ya wafuasi wa upinzani kugomea matokeo yaliyotangazwa na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wana jamii forum, Ninaitwa HAASAN AKILIMALI , Ninafanya shughuli za designing vitu ninavyo tengeneza ni pamoja na PLASTIC IDENTITY CARDS(PVC’S)PLASTICS CERTIFICATES FOR COLLEGES (PVC)...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Aleksander Ceferin (48) wa Slovenia ametajwa kuwa Rais mpya wa UEFA akiungwa mkono na vyama 42 vya soka barani Ulaya. ====== Aleksander Ceferin has been elected as the new president of Uefa...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Ugiriki nimoja kati ya nchi zinazounda EU na nchi hiyo ina mdororo wa uchumi kama mdororo wetu hapa Tanzania. nasikikitika kuona hali ya ugiriki kiuchumi kudorora na wala sio jambo la kusifia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jeshi la Syria limesema limeziangusha ndege mbili za anga za Israel. Baada ya Israel kutaka kushambulia eneo lilipo jeshi la Syria la Quneitra ======== Syrian army says it downed two Israeli...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
President Jacob Zuma has sent a message of condolence on behalf of the South African people to the government and people of Tanzania following a deadly earthquake which has resulted in the death...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndege mbili za kivita za Marekani zenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia, B-1 Lancer, zimepaa juu ya anga ya Korea Kusini, siku chache baada ya Korea Kaskazini kufanya jaribio la tano la silaha...
3 Reactions
43 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…