Islamic State celebrates Donald Trump election victory

Islamic State celebrates Donald Trump election victory

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
748
Reaction score
386
Jane Onyanga-Omara | USA TODAY
1 hour ago

Extremists celebrated President–elect Donald Trump’s stunning victory at the polls Wednesday, hoping his triumph will “lead to civil war,“ according to a jihadist monitoring group.

"Rejoice with support from Allah, and find glad tidings in the imminent demise of America at the hands of Trump,” said the al-Minbar Jihadi Media network, which is affiliated with the Islamic State, according to the U.S.-based SITE Intelligence Group.

My take
Wakuu hali ndo kama hivyo. Adui yako muombee njaa
 
urais ni taasisi kila unachosema kipo monitor and prepare usifikir ataendelea kuropojaropoka hovyo rejea kauli yake kua yye ni wa america wote rejea msamaha aliomba kwa waislamu baada tu ya kuchaguliwa hiyo ndio taasisi ya urais inavyoanza kumdrive tangu achaguliwe umesikia kaongea pumba
 
Tabia ya mtu haibadiliki overnight eti sababu amekuwa na nafasi ya juu katika jamii. Mwenendo wa mtu waweza kubadilika japo kwa muda kulingana na mazingira lakini tabia yake inayoonekana wazi kwa matendo na maneno yake haiwezi kubadilika. Iko siku itajitokeza tu!
 
urais ni taasisi kila unachosema kipo monitor and prepare usifikir ataendelea kuropojaropoka hovyo rejea kauli yake kua yye ni wa america wote rejea msamaha aliomba kwa waislamu baada tu ya kuchaguliwa hiyo ndio taasisi ya urais inavyoanza kumdrive tangu achaguliwe umesikia kaongea pumba
Acha mchecheto wewe subiri hapo January ndugu zako watakavyofukuzwa kama nguruwe zizimi....


Si mlianza kusema hawezi shinda... Leo mnaanza kusema hawezi kuishi maneno yake..

Tafadhali tulieni
 
Back
Top Bottom