Jumapili njema WanaJF,
Kwa waumini wa Kanisa Katoliki, kama mimi, huzingatia kwa umakini 'neno' la Papa. Kasema haya, nanukuu:
" HATUTACHOKA KURUDIA KUWA JINA LA MUNGU HALIWEZI KUTUMIKA...
Gavana wa jimbo la North Carolina ametangaza hali ya hatari katika mji wa Charlotte, wakati ghasia zinaendelea kufuatia polisi kumuua mwanamume mweusi.
Ghasia zilizuka kwa usiku wa pili baada ya...
Katika pita pita yangu, nimekutana na hii wanaJF, inatia hamasa kwa nchi kama yetu yenye kila aina ya resources kuendeleza nchi na watu wako.
Bofya hapa chini ni dakika 10 tu, SOUTH KOREA...
Mtuhumiwa wa tukio la kuwapiga risasi watu watano kwenye maduka mjini Washngton akamatwa baada ya msako mkali wa masaa 24. Polisi wamesema Arcan Cetin alijulikana kwenye tukio hilo baada ya gari...
Raia wa USA walizoea kuangalia tu kwenye TV jinsi Jeshi lao linavyosurubu raia wa nchi nyingine oversees, sasa kama wenyewe wasemavyo chickens coming home to roost, baada ya raia wa USA aliyetokea...
Mahakama ya Gabon 'yahalalisha' ushindi wa Bongo
Mahakama ya Katiba ya Gabon imeuthibitisha ushindi wa Rais Ali Bongo, ikitupilia mbali hoja ya mpinzani wake, Jean Ping, kwamba kiongozi huyo...
Rais wa Zimbabwe akihutubia Mkutano kwa wajumbe wa UN Jana ameziomba nchi za Marekani,Uingereza na marafiki zao kwa ujumla kuondoa vikwazo vya kiuchumi na fedha kwa Wazimbabwe wanaoumia kila...
Polisi wamelinasa gari la aina yake linaloshukiwa lilitumika kurusha dawa za kulevya kutoka upande mmoja wa mpakani hadi mwingine, kati ya Arizona na Mexico.
Kutokana na uimarishaji wa msako...
Kombora lililofyatuliwa na wanamgambo wa Islamic State dhidi ya kambi ya jeshi la Marekani nchini Iraq lilikuwa na kemikali, jeshi la Marekani limethibitisha.
Hakuna aliyejeruhiwa katika...
Marekani yaomba msamaha kwa rais wa Syria kutokana na mauaji ya askari wa Syria waliouwawa na mashambulizi ya ndege zinazoongozwa na washirika wa Marekani.
===========================
Meanwhile...
Marekani imesema ndege za kivita za Urusi zilihusika kushambulia msafara wa misaada nchini Syria siku ya Jumatatu na kusababisha vifo.
Maafisa wa Marekani wameiambia BBC ndege mbili za...
Ted Cruz endorsed Donald Trump for the presidency Friday afternoon, a stunning turn of events after a contentious primary filled with nasty personal attacks and a dramatic snub at the Republican...
Mgombea uraisi wa Marekani wa chama cha Republican bwana Donald Trump sasa amekiri kwamba anakubali raisi Barack Obama ni raia halali wa kuzaliwa wa Marekani.
Cheti halisi cha kuzaliwa cha raisi...
Boti iliyokuwa imebeba wahamiaji haramu wapatao 600 imezama katika pwani ya Misri na kupelekea kwa uchache watu 29 kufariki dunia.
Ripoti zinasema kuwa, boti hiyo ilikuwa imewabeba abiria...
Maafisa waandamizi wa Misri wamesema jumla ya miili 148 itolewa katika maji katika Pwani ya nchi hiyo, ikiwa ni siku chache baada ya mamia ya wahamiaji kuwa safarini kuelekea Ulaya.
========...
Philippines President to extend violent war on drugs for six more months
Philippine President Rodrigo Duterte has said his country's drug problem was far worse than he anticipated when taking...
Wimbi la askari wa marekani kuwaua wamarekani weusi bado linaendelea ambapo askari mmoja wa kike mweupe kamuua mtu mmoja mweusi ambae hakua na silaha.
Binafsi naona sehemu kubwa ya weusi...
illary Clinton aongoza kura za maoni
Hillary Clinton
WASHINGTON, Marekani
KURA za maoni za taifa za urais Marekani zimekuja na habari njema kwa kambi ya mgombea urais wa Chama cha...