Idadi ya watu waliofariki kutokana na gharika la kimbunga Mettew lililoikumba nchi ya Haiti yafikia takribani waty 339 vikosi vya uokoaji vimerioti kuwa idadi ya majeruhi na vifo inaongezeka kwa...
Kama kichwa cha taarifa kinavyosomeka. Link ya habari hiyo chini.
www.ronpaulinstitute.org/archives/featured-articles/2016/october/02/pentagon-paid-pr-firm-540-million-to-make-fake-terrorist-videos
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amesema Bara la Afrika lipo tayari kujitoa katika Umoja wa Mataifa (UN) iwapo madai yake ya kutaka mabadiliko katika umoja huo hayatatekelezwa.
Mugabe ametoa kauli...
Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas akimbizwa hospitali baada ya kupata tatizo la kiafya ghafla, kiongozi huyo amekimbizwa katika Hospitali moja iliyopo Ukanda wa Magharibi ili afanyiwe vipimo vya...
Watu 6 wameuawa baada ya wanamgambo wa kundi la Al- Shabaab kufanya shambulio eneo la Mandera, Kaskazini Mashariki mwa Kenya.
========
Mandera, Kenya: Six people were killed in suspected...
K-DEVELOPEDIA)
Development encylodedia for scholars, policy makers and students working on their researches. www.kdevelopedia.org
Take a look on :
Emerging Asian approaches to development...
China: 'Ukinunua iPhone 7 umejifuta kazi!'
Wateja wakiwa na iPhone 7
Baadhi ya kampuni China zimetishia kuadhibu wanaonunua iPhone7
Kampuni kadha nchini Uchina zimetoa onyo kali kwa...
Ziara za Magufuli na Kagame zimeanza kuzaa matunda baada ya ushauri wake toka rohoni; ili Rwanda na Congo zisonge mbele lazima wakutane viongozi wenyewe na kuleta suluhu; aina haja ya watu kutoka...
A Tanzanian military parade on 26 April to mark the 50th anniversary of the union of Tanganyika and Zanzibar shed light on the Tanzania People's Defence Force's (TPDF's) recent...
Yaani Syria nchi yenye watu wasiofikia milioni 20, yenye km² zisizofika laki 2 inataka kuanzisha Vita Kuu ya Dunia kweli?
Yaani Syria ndiyo iangamize maisha ya mamilioni ya watu kote Ulaya, USA na...
Tunajua wako wengi humu JF kucha wanamwaga sumu,sasa na hiki ndio kinawasubiri
PHOTOS: Government assures of fair trial for Genocide suspect Munyakazi
By: Eugene Kwibuka
Police...
Nchi hiyo kubwa Africa ambayo hali ni tete hasa baada ya Rais Kabila kuamua kuahirisha uchaguzi mpaka 2018 kwa sababu za kiusalama, jana kwenye sherehe za kuweka jiwe la msingi kwenye jengo la...
Kumbe na huyu naye ni dikteta uchwara, kakosa uvumilivu kabisa ama vipi?
Sheria yao ya mtandao itakuwa kali sana. Ama free of speech inaminywa.
Afukuzwa kazi kwa kumuita mke wa Obama sokwe...
Mapigano yamezuka baina ya pande hasimu nchini sudan kusini.
Kuna hofu kuwa Sudan kusini huenda ikatumbukia tena kwenye vita vya kiraia.
Walioshuhudia wanasema wamesikia milio ya risasi katika...
Mbwa mmoja katika jimbo la Minnesota, Marekani amechaguliwa kuwa meya wa mji mmoja katika jimbo la Cormorant.
Mbwa huyo kwa jina Duke (pichani) ana umri wa miaka tisa na amechaguliwa mara ya...
Hatimaye nchi masikini yenye misukosuko ya uongozi na vita leo imezindua rasmi usafiri wa treni la umeme kwa raia wake. Hakika sherehe zikikuwa kubwa na za kufana sana. Wakati Ethiopia wakifanya...
President Paul Kagame has picked a team of eminent persons he will work with as he leads efforts to reform the African Union into a more credible and self-reliant body.
President Paul Kagame...