International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Anasema Maazimio ya UN hayana Maana Yoyote, Mbona MAREKANI, imeivamia IRAQ, AGHFANISTAN na LIBYA, kinyume na Maazimio ya UMOJA WA MATAIFA. Hilo nikatika kuonyesha Msimamo wa URUSI, juu ya watu wa...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Russian warships have launched a total of 26 cruise missiles at Islamic State facilities, destroying all targets. Russian warships have attacked Islamic State targets in Syria, Russian Defense...
5 Reactions
151 Replies
19K Views
Kama kuna dikteta anayependwa na kusifiwa basi ni Fidel Castro, Madikteta wote Duniani huchukiwa na kukejeliwa kuanzia Hitler, Stalin mpaka Kim wa Korea Kaskazini lkn siyo Castro, leo hii...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
China-Russia alliance challenges US-Western domina Analysts see budding ‘bromance' between Vladimir Putin, Xi Jinping Russian President Vladimir Putin and Chinese President Xi Jinping...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Mgombea wa Urais wa Marekani, Donald Trump ameingia matatani kwa mara nyingine tena baada ya kusambaa kwa video ya mwaka 2005 ambayo anasikika akiongea maneno makali ya jinsi anavyowachezea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Barrack Obama ametangaza hali ya hatari katika mji wa Florida baada ya picha za Satellite kuonyesha kimbunga Hurricane Matthew kinaelekea eneo hilo. Vikosi vya uokoaji navyo...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Iraqi Militias Complicate Aleppo Battle
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Idadi ya vifo kufuatia kimbunga Matthew nchini Haiti inakaribia watu 842, kwa mujibu wa serikali. Katika Miji asilimia 80 ya majengo yameporomoka. Hadhi ya Kimbunga Matthew kwa mara nyingine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kampuni kadhaa nchini China zimetoa onyo kali kwa wafanyakazi wake na kuwataka wasinunue simu mpya ya kampuni ya Apple, iPhone 7. Kampuni zilizotoa marufuku hiyo zinasema ni kwa sababu za...
2 Reactions
31 Replies
9K Views
http://www.cnn.com/2016/10/06/us/hurricane-matthew-evacuations/index.html
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tuzo ya AMANI ya Nobel imekuwa ikitolewa kwa nadra sana kwa Bara la Africa. Nimesikia Rais wa Colombia ametunikiwa Tuzo hii baada ya kusaini makubaliano ya kusitisha miongo mitano ya mapigano...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tyson: Ninatumia Cocaine kukabiliana na ugonjwa wa Kiakili Tyson Fury katika pigano.Bondia huyo anakabilia na matatizo ya kiakili Bingwa wa ndondi katika uzani mzito duniani Tyson Fury amesema...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Wakuu nimeona kwenye vyomba vya habari haya majaribia na sijatosheka na mimeenda youtube na kushuhudia hizi silaha nazosikia watu wakizipigia debe na hakika nimeshuhudia. Hizi missile za mrusi na...
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Polisi nchini Ujerumani wanawachunguza mume na mke ambao wanadaiwa kumfungia mwanao wa kiume ndani ya nyumba kwa miaka 30, katika jimbo la Bavaria Mwanamme huyo wa miaka 43 hajawahi kuonekana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baraza la Mawaziri nchini Burundi, kwa kauli moja limeidhinisha mswada wa kuliondoa taifa hilo kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC. Serikali ya nchi hiyo tayari imewasilisha mswada...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Colombia Juan Manuel Santos ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel ya mwaka 2016 licha ya kuvunjika kwa mkataba wake wa kusitisha vita na waasi wa Farc nchini humo. Rais Santos aligongwa vichwa...
0 Reactions
1 Replies
726 Views
Hurricane Matthew: Hundreds dead in Haiti storm disaster - Hurricane Matthew: Hundreds dead in Haiti storm disaster - BBC News
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali ya Nigeria imeamua kuuza ndege 2 zilizo kuwa zinatumiwa na rais wa nchi hiyo ili kupunguza matumizi ya serikali. Naona wamedhamilia
3 Reactions
64 Replies
5K Views
Idadi ya watu waliofariki kutokana na gharika la kimbunga Mettew lililoikumba nchi ya Haiti yafikia takribani waty 339 vikosi vya uokoaji vimerioti kuwa idadi ya majeruhi na vifo inaongezeka kwa...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Kama kichwa cha taarifa kinavyosomeka. Link ya habari hiyo chini. www.ronpaulinstitute.org/archives/featured-articles/2016/october/02/pentagon-paid-pr-firm-540-million-to-make-fake-terrorist-videos
1 Reactions
0 Replies
669 Views
Back
Top Bottom