Obama anakuja lini Afrika kuaga kama Rais (Muafrika) wa USA?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Juzi Raisi wa USA Obama alikuwa Ulaya kama safari yake mwisho na aliwaaga Wazungu, leo hii yuko Lima pia kwa lengo hilo hilo la kuwaaga Waasia na Wamrekani Kusini, akiwa Raisi wa USA, Je vipi sisi Waafrika tuliosherehekea klk binadamu yoyote yule Dunia hii kuapishwa kwake mpaka tumempa jina la Barabara yetu mashuhuri? Wakenya mpka walipumzika siku Obama anaapishwa kusherehekea, katusahau au?
Au ndiyo yale yale akishatoka kwenye Uraisi anaanzisha NGO ya kitapeli kama Clinton foundation na kuanza kuja Afrika kutibu funza?

Kweli Muafrika ni Mutoto wa Muzungu!




Obama akiwa Ulaya Ujerumani, kuwaaga Wazungu!
size=708x398.jpg



Obama akiwa Lima kwenye Mkutano wa Asia Pacific na kuwaaga watu wa Asia na Marekani Kusini!

barrack-obama-redet-beim-apec.jpg



Obama-traf-Putin-ein-letztes-Mal-als-US-Praesident-4-Minuten-Gespraech-story-540188_1164x658px_9d0a4a83ab77cc84c80cf37b09cde8b1__apafab3_tmp_jpg_1474036_1164.jpg
 
Naona ameagana na mahasimu wake V. Putin na Rodrigo Durtete
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom