Donald Trump won't be 'Tamed Trump'

Donald Trump won't be 'Tamed Trump'

MAKA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
267
Reaction score
209
Wale wanaofikiri Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump ayabadilika akiingia White House wamechemsha kweli kweli. He is going to be a 'realdonaldtrump' as we know him.

Kwa sasa uteuzi wake umejaa wazungu na wanawake wanalia kwa kukosa nafasi.

Ataishi kwa mashaka pamoja na familia yake.

Kwa kifupi ni suala la muda tu, tusubiri apewe ofisi ndipo tutayaona maajabu zaidi.
 
Hivi huyu binadamu kafanikiwa vipi kushinda Uchaguzi? Hakuna popote tumeambiwa kaiba kura which means kachaguliwa kihalali.

Kinacho nishangaza mimi ni hizi dirty kampein ambazo zimepamba moto kupitia vikundi vya kuchonga tu vyenye lengo la kujaribu ku demonise Trump wa watu!

Hao ma Prophet of doom wanao ongozwa na Rais dhaifu(OBAMA) awataweza kufanikiwa, mbio zao zitaishia sakafuni - Trump ni chaguo la Mungu, muhumba Mbingu na Dunia awezi kuwapa madaraka/mmamlaka watu walio pania kuanzisha WW3 - hata akili za kufikiria kwamba na wao na uzao wao wote wange angamia - akili hizo hawana kabisa wamejaa majivuno eti "Nuclear war is winnable" ni kundi lililo lewa madaraka - akitoka Baba madarakani anamwachia mwana, akitoka mume madarakani anataka amwachie mkewe - yaani angeshinda Hillary ina maana Wamerika wangetawaliwa miaka 32 na koo hizi zilizo taka kujigeuza za Kifalme i.e Bush Sr=8 years, Bush Jr=8 years, Clinton Mr=8 years, Clinton Hillary=8 years who knows labda na Chelsea angeweza kufanyiwa mpango atawale miaka minane, aibu tupu.

Sasa Wamerikani kwenye grass root walichoshwa na tawala hizi za kifalme na uongozi wa Establishment wa tangu mwanzoni mwa miaka ya 1950s mpaka sasa save Dwight Eisenhower, JF Kennedy, Jim Carter. Tawala ambazo zina husudu vita kwa kuvamia vinchi vidogo vidogo wapate sababu za kuuza silaha na kupora mali asili, wakati mwingine wanauua watu wasio na hatia kwa kutumia ma drones indiscriminately cha ajabu International Community inakaa kimya bila ya kilaani udhalimu huo!

Nimewahi kuwasikia raia walio tulizana akili wanasema walichoshwa na Establishment waka kata shauri kufanya mapinduzi kimya kimya kupitia sanduku la kura, wanasema walipo kuwa wanaulizwa watampigia nani kura wanasema Hillary wakifika chumba cha kupigia kura wanampigia Trump - Narudia kusema Obama, John Kerry, Soros, Sanders, MSM hata watumie mbinu gani za kumuhujumu Trump awatafanikiwa watabaki wanajidhalilisha tu, raia wengi wanamkubali Trump.
 
This is a serious mistake Americans have made.
 
i dont believe its a mistake!!
You people don't know who Hillary really is,
i am not praising or being pro trump.... But bora yye kashinda...
Hillary is so devilish you can see it when she smiles!!
 
Back
Top Bottom