Mugabe hints on retirement, on his own terms!

Adrian Stepp

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
2,764
2,581
Kwa mara ya kwanza Rais wa Zimbabwe Robert G. Mugabe amedokeza mpango mkakati wake wa kung'atuka madarakani japo hakuweka bayana.

Rais Mugabe alikua akizungumza na kundi la askari waliopigania uhuru wa taifa hilo miaka ya 1970.

Katika mazungumzo yake na maveterani hao yaliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita (Over the weekend) Mugabe alisema kwamba anatambua ni kwa kiasi gani taifa hilo linapitia wakati mgumu wa kiuchumi na hivyo atatumia njia sahihi kuondoka madarakani japokua hakubainisha ni muda gani.

Hivi karibuni Rais huyo wa Zimbabwe alinukuliwa na mshirika wake wa karibu kwamba hatoachia madaraka mpaka mwaka 2023 atakapokua ana miaka 99!
=================================

For the first time, Zimbabwean President Robert Mugabe, 91, has said he will retire.

He did not put a time line on when he would go, but he said Zimbabwe was in a (financial) crisis and that he would retire, but would do it “properly”. It was not clear what he meant by “properly”. Mugabe has always maintained he would never retire and would die in office.

He was speaking at the weekend to a group of people involved in the 1970s war against minority white rule and who claim they are owed money by the state, which can neither fund them nor pay civil servants on time.

Mugabe told the “war collaborators” that he believed he had now “defeated... the British and Americans...” and that he understood times were difficult in Zimbabwe. “We are in a critical time... for regime change.”

It has never been clear what Mugabe and the governing Zanu-PF mean when referring to “regime change”, as the British have few financial interests in Zimbabwe and the Americans “have zero political and economic interest in Zimbabwe”, said a senior Western diplomat this week.

Mugabe regularly tells supporters that Zimbabwe has unexplored financial riches, but that is not what local geologists and other analysts say.

“There was a time, some years ago, when Zimbabwe seemed important, that it could be a powerhouse in the region, but that moment has long gone, and now it is hard to find anyone who can forecast how it can repay its debts even with a new leadership, let alone attract foreign investment,” said a Harare-based financial analyst who asked not to be named.

“There are no so-called unexplored minerals. The best opportunities are a few, well-managed small mines, but nothing big.”

He also questioned why anyone with alternatives would choose to live in Zimbabwe, as it was short of water and electricity. “There is not much to attract anyone to Zimbabwe these days. It is not a particularly comfortable or attractive place to live nowadays.”

Zanu-PF says Mugabe will be its candidate in the 2018 elections and will only retire in 2023, when he 99. Mugabe told his old friend Cephas Msipa four months ago that he would never retire.

Mugabe also acknowledged that there were factions within Zanu-PF, but that they would come together ahead of the next elections. Veteran Zimbabwe political analyst Brian Raftopoulos says chances that the fractured opposition could win the next elections are “bleak”.

Zimbabwe is so broke it has largely run out of the cash it uses - US dollars - and later this week, a new currency called Bond Notes will emerge in some bank exporters’ bank accounts.


Source: iol.co.za
 
Kwa mara ya kwanza Rais wa Zimbabwe Robert G. Mugabe amedokeza mpango mkakati wake wa kung'atuka madarakani japo hakuweka bayana.

Rais Mugabe alikua akizungumza na kundi la askari waliopigania uhuru wa taifa hilo miaka ya 1970 .

Katika mazungumzo yake na maveterani hao yaliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita (Over the weekend) Mugabe alisema kwamba anatambua ni kwa kiasi gani taifa hilo linapitia wakati mgumu wa kiuchumi na hivyo atatumia njia sahihi kuondoka madarakani japokua hakubainisha ni muda gani.

Hivi karibuni Rais huyo wa Zimbabwe alinukuliwa na mshirika wake wa karibu kwamba hatoachia madaraka mpaka mwaka 2023 atakapokua ana miaka 99! Chanzo


Mugabe hints at retirement, on his own terms | IOL
Hakutaraji kama Trump angeshinda.
 
Trump hataki wahamiaji ; mkakati wake ni kuhakikisha kuwa nchi za kiafrika zinaendelea kiuchumi ili watu wao wasikimbilie Ulaya na Marekani hivyo wale watawala wanaohujumu uchumi wa nchi zao ni lazima ale nao sahani moja!! Madikteta wa Africa wakae chonjo MWANAUME alikwisha waonya mchana kweupe!! Atawapeleka GUANTANAMO kwani Obama kashindwa kuifunga!!!
 
Rais Robert Mugabe ambaye kwa sasa ana Umri wa Miaka 92 amepitishwa tena na Kamati za Kikanda za Zanu PF kugombea Urais mwaka 2018 akiwa na mkaka 95 kwa tiketi ya chama hicho.

Ukikaa ukatafakari utagundua Afrika ni bara lenye maajabu meng kuliko unavyoweza kufikiri. Miaka 95 bado anafikiria kuwa Rais na kuna watu kabisa wanaona hilo ni jambo sahihi?

Tunapata wapi Ujasiri wa kusoma kitabu cha Walter Rodney "How Europe underdeveloped Africa? Miaka mingi baada ya Uhuru Africa tunawaza bado kwa mfumo wa mawazo ya kipindi cha Ujima.

Na huyu mzee anaendelea kuonekana ni shujaa wa Afrika kwa sababu ameweza kung'ang'ania madarakani miaka yote hiyo. Kwa sisi ni Shujaa. Tumewah jiuliza wananchi wake wanaishije?na je yeye anaishije?

Kuna maajabu ambayo yanapatikana Afrika tu. Mabara mengine kutokea ni kwa nadra sana hasa yaliyoendelea. Acha sisi tudumishe tu fikra za wenyeviti wa vyama vyetu.
 
Wakati mwingine nafikiriaga matusi tunayotukanwa na akina Trump na Netanyahu yanatustahili!
 
Umesikia habari za leo? Mheshimiwa mstaafu Mosses Machali amejiengua ACT-Wazalendo na kujiunga na CCM kwa sababu Mtukufu JPM na msaidizi wake Kassim Majaliwa "wanatekeleza ipaswavyo agenda ya mabadiliko iliyokuwa ikipiganiwa na kambi ya upinzani katika awamu iliyopita":confused:. Sasa kwa nini jogoo la Afrika lisiwe rais wa maisha!!!!!!
 
Wamesha shika bunduki unafikiri watawaza nini zaidi ya madaraka ?..
 
nashauri wabadili katiba na kuifanya nchi yao kuwa ya Kifalme hapo tatawala mpaka mauti yatakapo mkuta ni hayo tu
 
Back
Top Bottom