God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
Wakuu nimeona kwenye vyomba vya habari haya majaribia na sijatosheka na mimeenda youtube na kushuhudia hizi silaha nazosikia watu wakizipigia debe na hakika nimeshuhudia.
Hizi missile za mrusi na b-52 za mmarekani ni hatari kwa usalama wa hii sayari
warhead nazo nimeziona.
Mimi swali langu ni wapi hapa mabomu yanaenda kutua? au yanapotezewa huko kwenye space?
Kwa speed ya km 1000/h na zaidi ni hatari mno, na nimeona mengine yana uzito wa kg 250 mengine hadi 500 na kuendelea!
Hizi submarine nazo nimeziona na navy yote nimefanikiwa kuiona inavyooperate! kilichonishutua kabisa ni uwezo wa hizo meli kubeba ndege nyingi na uwanja mkubwa hapo juu kwa ajili ya kuzipokea! kweli binadamu kaitawala haswa hii dunia.
Wakuu naomba mniambia yanapoishia hayo mabomu kwanza niwe na amani.
Spidi ya hayo madude ndio imenikosha zaid pamoja na uzito wote mkubwa.
Heshima kwa mmarekani na mrusi.
Pia wakuu hisi ndege za kivita zinapojeuka na kwenye kinaga ubaga hao watu waliopo humo ndani hawateseki? kizunguzugu hakiwapati?
Hawatupi huko na huko ndani ya hiyo midege ya ajabu?
Wakuu nipeni elimu.
Pitieni hii link mujionee mambo ya dunia yanavyokwenda