Kimbunga kinachoitwa Matthew:Mamia wafariki Haiti

Tunaendelea kukifuatilia hapa Miami kilitarajiwa kutupiga ila knaonekana kimebadili uelekeo
 
Unauliza jibu? Matthew kwenu ni jinsia gani?
mkuu vimbunga vingi hupewa majina ya kike ndiyo maana nauliza hiki imekuwaje. kwa ujinga, unafikiri nauliza kama Mathew ni jina la kiume!
 
Vimbunga "vingi"; ina maana kuna vichache hupewa majina ya kiume na hilo unalijua kutokana na maelezo yako hayo. Hiki unaona kimepewa jina la kiume halafu unauliza "cha kiume"? Sasa mimi na wewe nani mjinga?
 
kama ungekuwa muelewa ungejua kuwa point ya swali langu ni kutaka kujua kwanini vinapewa majina ya kike na kiume. mtu yeyote angajibu lile swali lazima angegusia hilo suala.
 
Hapa ni suala la kufamishana hakuna haja ya kujibizana au kugombana. Kama kuna mwenye ufahamu wa aina ya vimbunga vyenye majina ya kiume atujulishe. Au kama mtu anafahamu ni utaratibu unaotumika kutoa majina kwa vimbunga itakuwa bora zaidi.
 
Wala hatugombani ndugu. Swali lake lingekuwa clear hivyo ingekuwa poa. Anachotaka tumsome akili mwake anawaza nini halafu tumjibu. Labda wapiga ramli kama wamo humu watamsaidia.
 
Ngoja mie nirekebishe kwa kumsaidia kuuliza, ni utaratibu gani unaotumika kutoa majina ya vimbunga?
 
Wala hatugombani ndugu. Swali lake lingekuwa clear hivyo ingekuwa poa. Anachotaka tumsome akili mwake anawaza nini halafu tumjibu. Labda wapiga ramli kama wamo humu watamsaidia.
kuhisi kwamba sijui kama Matthew ni jina la kiume inaweza kuwa ni ujinga uliopitiliza au umeamua makusudi kuja na straw man arguments ili kuridhisha roho yako.
 
Back
Top Bottom