Putin amewaweka wamarekani pabaya mno .wikileak huko kumekucha ,Wikipedia ya clintons hacked ,na ameshaanza kuweka majeshi Cuba .FBI wanasema machine za kura zinaonyesha dalili ya kuchezewa.Trump...
Raia wa Thailand wameanza kuomboleza kufuatia kifo cha Mfalme Bhumibol Adulyadej, ambaye alikuwa nguzo ya uthabiti wa kisiasa nchini humo wakati wa utawala wake uliodumu miaka 70.
Mfalme...
Mexico inapanga kumkabidhi mlanguzi hatari wa mihadarati Joaquin "El Chapo" Guzman kwa maafisa wa Marekani mwezi Februari, kwa mujibu wa afisa mmoja mkuu nchini Mexico
Hata hivyo, Guzman anaweza...
My favourite line quote Putin alipoongea na waandishi wa habari.
''But we know that technologies advance, we een know in which year the Americans will accomplish a new missile, which will be...
Kwangu mimi D.Trump ni bonge la Inspiration, sijawahi kuona mtu strong-willed kama D.Trump, ukichukulia yote yanayomkumba Trump ni binadamu wachache sana wanaoweza kuhimili hiyo Stress Test na...
By Clement Uwiringiyimana | KIGALI
Nearly 200 nations have agreed a legally binding deal to cut back on greenhouse gases used in refrigerators and air conditioners, a major move against climate...
Wakati Rais Barrack Obama alipochaguliwa kuwa kiongozi wa Marekani mwaka 2008 alikuja kauli Mbiu Change We Can Believe In. Rais Obama anaondoka madarakani akiacha dunia hii si salama na kama kuna...
Serikali ya Nigeria imetoa agizo kuwa wanawake wanaovaa suruali za kubana wachapwe viboko hadharani ili kufanya jamii iwe na adabu kabisa.
Je, unauonaje uamuzi huu?-Voice of Zigua
Maafisa wa usalama nchini Misri wanasema kuwa watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kiislamu wamewaua wanajeshi 12 wakati wa shambulizi katika kuzuizi cha jeshi eneo la rasi ya Sinai.
Wanajeshi 8...
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amejibu onyo kutoka kwa mkewe ambaye alikuwa ametahadharisha kwamba hatamuunga mkono uchaguzi mkuu ujao iwapo hatafanya mabadiliko serikali.
Bi Aisha, kwenye...
Ni ajabu na kweli ati
Rais wa nchi anapotea vipi na kwa nini apotee? Au amejiteka mwenyewe? Maana toka atoke kwenye kikao marekani yapata mwezi sasa wamalawi hawamwoni rais wao
Mke wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari, ameonya kuwa huenda asimuunge mkono mumewe kwenye uchaguzi mkuu ujao iwapo kiongozi huyo hatafanya mabadiliko kwenye serikali yake.
Kwenye mahojiano na...
Barack Obama Rais wa marekani kupitia chama cha Democratic amesema Jana kuwa Trump ni mbaguzi wa hali ya juu na hawezi kuwa Rais wa taifa kubwa kama marekani .
Amesema video iliyovuja na...
Maafisa kumi waliokuwa wakihusika na ulipuaji wa bomu la nyuklia kwa amri ya rais wasaini barua ya kupinga Trump kukabidhiwa jukumu la ulipuaji wa nyuklia endapo atashinda na kuwa Rais wa...
Rwanda’s liberation struggle initiated by the Rwanda Patriotic Front (RPF) on October 1, 1990 was an occasion for a series of commitments of French alongside HABYARIMANA’s regime that they would...
News broke that some people in the ruling Democratic Progressive Party (DPP) plan to bump Vice President Saulos Chilima off so that a favourite of theirs can take over power in the event of...
Samuel Mugarula, Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda amevumbua njia ya kutengeneza mabomu ya kutoa machozi (Tear Gas) ambayo hutumika na vikosi vya polisi mara nyingi kuzima...
Je uamuzi uliochukuliwa na hilo shirika la Umoja wa Mataifa ni sawa?
The proposal "strongly condemns the Israeli escalating aggressions and illegal measures against the Waqf Department and its...