technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,680
- 58,686
Zimeshanunuliwa tayari hata jioni hii zimezinduliwa na kagameKhaaaaa kumb bad hazjanunulwa
Duh bac fureeeshZimeshanunuliwa tayari hata jioni hii zimezinduliwa na kagame
No ni kwa ajiri ya huduma tu....Hizo ndege kwa ajili ya KAZI gani? Vita vyao wahutu na watutsi?
Jamaa aliviita vinchi sasa naona jamaa kaja kasiNa sisi tutakwenda kununua zetu za toy's[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Duuuh yaani kagame anafanya mambo muhimu ndege kwa ajiri ya kupeleka dawaWako smart hao kupita maelezo mkulu wetu lugha za kidiplomasia zilipita kushoto nguvu nyingi akili........................
Duuuh yaani kagame anafanya mambo muhimu ndege kwa ajiri ya kupeleka dawaWako smart hao kupita maelezo mkulu wetu lugha za kidiplomasia zilipita kushoto nguvu nyingi akili........................
HahahahahaRwanda ni kinchi kidogo mno. Sidhani kama farthest points zinazidi 300km. Ni sawa na Znz ndege kabla haijakaa level ishatoka nje ya mipaka.
Siyo km hizo ndg ni zile ndogo kabisa na teknolojia yake ni ya kawaida tu.Halafu si kweli kwamba ni za waRwanda bali ni waMarekani Rwanda yeye anawalipa kwa kila safari.Ifahamike Rwanda jografia ya nchi yao ni vigumu mno kufikika ki rahisi toka eneo A kuelekea eneo B.Milima na mabonde ni kikwazo kwao kuwafikia wagonjwa kwenye changamoto km hizo kwa kutumia usafiri wa gari.Kwa mfano,kuna kipande cha kati ya pori la hifadhi la Nyungwe keulekea vijiji vya upande wa kusini ni vigumu mno kufikika kwa usafiri wa gari.Acha wafanye hivyo ni hasa kwa sababu ya changamoto km hizo.Vijidege hivyo pia si km ambulance la hasha ni kwa kukupeleka damu tu iliyo ktk vikasha vya plastiki.Zimeshanunuliwa tayari hata jioni hii zimezinduliwa na kagame
Ni kweli kabisa.Eneo lao kubwa labda ni kutoka mpakani Rusumo hadi Rusizi magharibi mwa Rwanda ni kama km 450 hivi km sikosei.Ni nchi ndogo kwa kweli japo wako vizuri sana nyanja ya usafi wa mazingira.Hahahahaha
Mh!na dashi heoraghan damyeon
geudael dashi bol su itdamyeon