Jaji wa Mahakama Kuu aliyekuwa akisimamia kesi mbalimbali haswa watuhumiwa wa madawa ya kulevya ikiwa ni pamoja Joaquin "El Chapo" Guzman ameuawa kwa kupigwa risasi kichwani akiwa nje ya nyumbani...
Rumors are swirling that Julian Assange has been captured and sent on a rendition flight to Charlotte, North Carolina aboard a United States military plane known as Guantanamo Bay Express...
Afisa wa zamani wa ngazi ya juu nchini China, aliyepatikana ameficha bilioni 63 nyumbani mwake, amehukumiwa kunyongwa.
Wei Pengyuan alikuwa afisa mkuu aliyekuwa akisimamia Idara ya Makaa ya Mawe...
Ndege mojawapo ya Shirika la Ndege la huko HongKong, CATHAY PACIFIC, aina ya Boeing 747 imeruka safari yake ya mwisho kabisa na ya heshima kubwa tokea Tokyo Japan hadi Hong Kong CHINA, huku...
Ripoti za uongo kwamba Angola imekuwa taifa la kwanza duniani kupiga marufuku Uislamu zimezuka.
Clare Spencer anauliza iwapo hilo linahusishwa na uchaguzi wa urais nchini Marekani.''Waislamu...
By RAYMOND BONNER,
Published: November 12, 1994
KIGALI, Rwanda, Nov. 8—
The death of Rwanda's President in a plane crash last April touched off a frenzy of killing: several hundred thousand...
Shirika la Utangazaji la NBC la nchini Marekani limemfukuza kazi Mtangazaji wake, Billy Bush kwa kosa la kumhoji Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya REPUBLICAN, DONALD TRUMP kuhusiana na...
Mke wa mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump, Melania, amesema wanawake wanaomtuhumu mumewe kwa kuwadhalilisha kingono ni wanasema uongo, na kusisitiza kwamba Bw Trump ni "mwanamume...
Jeshi la Polisi linawashikilia watu watatu wanaotuhumiwa kwa kuhika na kifo cha mwanariadha Tyson Gay.
Binti wa mwanariadha huyo ajulikanaye kwa jina la Trinity Gay alifariki hapo jana baada ya...
Mfalme wa zamani wa Rwanda Kigeli wa tano Ndahindurwa amefariki dunia akiwa uhamishoni nchini Marekani.
Mfalme huyo alitawala Rwanda kwa miaka miwili tu kwanzia mwaka 1959 hadi 1961 wakati...
A recent series of studies have been dealing with the dynamics behind the building of developmental states in Africa. This working paper is a contribution for that debate by looking at the...
Wafuasi wa chama cha Democratic wamechanga kiasi cha dollar 13,000 ili kuikarabati office ya Republican iliyoshambuliwa Jana.
Wamesema watasimamia mpaka ikarabatiwe office hiyo .
Hillary...
Zaidi ya watu 50 wanaripotiwa kuuawa kufuatia mapigano mapya yaliyozuka nje ya mji wa Malakal nchini Sudan Kusini.
Vikosi vya waasi viliendesha mashambulizi kwenye mji huo wa pili kwa ukubwa siku...
Rais Barrack Obama na wanawe Sasha na Malia. Afisa mmoja wa chama cha Republican amewakosoa mavazi yao.Watoto wa rais wa Marekani Barrack Obama, Sasha na Malia wameshtumiwa kwa kukosa heshima...
Henry Chau anayejiita mwendawazimu
Mtuhumiwa huyo wa mauaji ya kushangaza ana umri wa miaka thelathini na mmoja jina lake ni Henry Chau aliibua hisia za walio wengi katika kesi ya namna yake...
Mshirikishe mwenzako
Raiya wa Uingereza waliouawa Thailand
Polisi nchini Thailand wameimarisha hatua za uchunguzi wa DNA kwenye kisiwa cha Koh Tao ili kubainisha waliohusika katika mauaji ya...
Kumekuwapo mfululizo wa maafa yatokanayo na mafuriko yanayosababishwa na mvua huko Thailand. Itakumbukwa kwamba waziri mkuu aliyejiuzulu, EL aliwahi kuwaleta wataalamu kutoka Thailand ili waweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.