International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Russian opposition politician Boris Nemtsov was shot to death in central Moscow late Friday. According to Moscow police, Nemtsov was walking near Red Square with a female companion when assassins...
4 Reactions
86 Replies
11K Views
A.Saddam's Iraq B.Assad's Syria C.Gaddafi's Libya China ndio wanatakiwa wasimamie na wasitishe Vita ya Korea na watengeneze utulivu kwenye region hizo na wawahakikishie ulinzi S Korea&N.Korea...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Urusi imesema kwamba inaondoa rasmi saini yake kutoka kwenye sheria inayounda mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita, ICC, siku moja baada ya mahakama hiyo kuchapisha ripoti inayokishutumu...
0 Reactions
2 Replies
885 Views
Hivi huyu wetu ndio angewafanyia watu wa Marekani kama alivyowafanyia wa Bukoba Jibu lake ni kama hili
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo kwenye vyombo vya habari tumemsikia rais mteule wa marekani trump akitangaza kutopokea mshahara wake ,huyu ndiye mzalendo wa kweli,na ndio raha ya kuchagua rais mfanyabiashara ,pesa kwake si...
13 Reactions
29 Replies
3K Views
Baada ya Trump kuwa Rais mteule wa USA, Mkurugenzi wa polisi wa Clay County Pamela Ramsey Taylor ameandika haya: “It will be so refreshing to have a classy, beautiful, dignified First Lady back in...
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Huyu Profesa aliyejiwekea vigezo 13 toka mwaka 1984 katika kupata mshindi wa uraisi nchini Marekani na hata mwaka huu alitoa utabiri wake toka mwezi May kuwa mshindi ni Donald Trump wa Republican...
4 Reactions
66 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, Vyombo vya habari huko Korea Kaskazini havijatangaza bado ushindi wa rais Mteule wa Marekani, Donald Trump kwa raia wake. Kuna nini hapa?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anaunga mkono pendekezo la kupunguza sauti za wito wa ibada 'adhan', akisema kuwa amepokea malalamishi ya kelele. Baadaye siku ya jumapili kamati ya...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Ripoti ya awali ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC, imebaini kwamba jeshi la Marekani na shirika la ujasusi CIA, huenda zilitekeleza makosa ya jinai dhidi ya binadamu nchini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mdau mmoja kanitumia... Yupo nchini Marekani.. Hapa polisi wanapeana mikono na Waandamanaji Kwa Amani kabisa.. Ingekuwa ni nchini kule kwa kusadikika ambapo Lizaboni anatokea, hawa watu...
14 Reactions
87 Replies
9K Views
German Chancellor Angela Merkel will run for a fourth term in elections next year, a senior politician in her party told CNN on Tuesday. "She will run for Chancellor," Norbert Roettgen of the...
0 Reactions
3 Replies
843 Views
Imeandikwa kwenye gazeti la Nipashe, Jumanne Novemba 15, 2016 kwa kichwa cha habari "Binadamu ataweza kubadilisha kichwa mwakani", kwamba 'Marekani itaingia katika machafuko yatakayogawanyisha...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Police say Oklahoma City airport has been closed after shooting occurred, the Associated Press has reported. They have asked people inside to "shelter in place" while authorities investigate the...
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Katika kile kinachooneka kuwajibu wapinzani wake, Rais Mteule wa Marekani Donald Trump ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook "If the election were based on total popular vote I would have...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Katika miaka hii 10 tumeshuhudia mataifa yakisaini mikataba mbalimbali kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya Tabia nchi kama kuiongezeka kiwango cha joto duniani,uchafuzi wa hali ya hewa...
1 Reactions
4 Replies
945 Views
Los Angeles Police Chief Charlie Beck said Monday that he has no plans to change the LAPD’s stance on immigration enforcement, despite President-elect Donald Trump’s pledge to toughen federal...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Augustin Matata Ponyo amejiuzulu leo ili kutoa nafasi kwa kiongozi wa upinzani achukue nafasi yake ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya kuleta amani na kuondoa mgogoro wa kisiasa nchini...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada tofauti kati ya hivo vitu, NB: usiniambie nika gogo lugha ya malikia kwangu tatizo MAJIBU Ndani ya marekani kuna vyombo 5 vya usalama ambavyo kwa pamoja vinajulikana kama...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
CORRUPTION: Russia's economy minister detained, investigated over alleged $2mn bribe linked to big oil deal Russian Economy Minister Alexei Ulyukayev was detained Tuesday on suspicion of taking...
1 Reactions
1 Replies
857 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…