Not my President

Not my President

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,379
Reaction score
13,193
Hivi huyu wetu ndio angewafanyia watu wa Marekani kama alivyowafanyia wa Bukoba

20161112_USP531.jpg


Jibu lake ni kama hili
 
Hata mfanyeje hamuwezi kubadili matokeo
Ila kulia wacha tulie hadi Mungu asikie Kilio chetu naamini atambadilisha roho ya ugumu bwana yule... Amin
 
nafrahi sana kuona siasa ikikuwa kwa kasi sana mitandao japo imepigwa marufuku maeneo mengine tz..

kweli nimeamini JF ni zaidi ya majukwaa ya kisiasa tutokako!!
 
Lakini kuigaiga misemo ya watu uone aibu kama kweli umeenda shule.Haina ladha.
 
Lakini kuigaiga misemo ya watu uone aibu kama kweli umeenda shule.Haina ladha.
 
He is my President, He is our president and He is your president utake usitake na ndio vilivyo unaona visivyoonekana na unasikia visivyosikika
 
He is my President, He is our president and He is your president utake usitake na ndio vilivyo unaona visivyoonekana na unasikia visivyosikika
Hata ukijipendekeza vipi ikifika zamu yako anakuchondoa tu... na wewe utaunga tela kwenye camp
 
sasa hapo wanam-protestia nani, wapiga kura wenzao waliomtaka Trump?

au wanasema Trump aliiba kura?

hapa kwetu backlash ilikuwa dhidi ya serikali iliyodhaniwa imeiba kura. Hawa je?

waliosema Trump chizi ndio wanaonekana wao wehu, mtu katumia taratibu zilizopo kupata urais, unamwambia wewe sio rais wangu, chizi nani hapo?
 
hivi siku bongo tukijivika mabomm hivyo tutoke na mabango itakuwaje?!tutamwagiwa upupu
 
president_ronald_reagan_by_carvedintomysoul-d4ex57f.jpg


Waliohalibiwa Maisha yao na Goverment wanyooshe Mikono juu
 
Back
Top Bottom