Utabiri wa baba Vanga: Marekani kusambaratika

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
9,286
Reaction score
6,729
Imeandikwa kwenye gazeti la Nipashe, Jumanne Novemba 15, 2016 kwa kichwa cha habari "Binadamu ataweza kubadilisha kichwa mwakani", kwamba 'Marekani itaingia katika machafuko yatakayogawanyisha majimbo ya nchi hiyo, ya Kaskazini na Kusini'.

Baba Vanga ni nani?
1479206426228.jpg

Baba Vanga (alijulikana kama 'the Nostradamus of the Balkans') ni mtabiri, mwanamke, kipofu, mzaliwa wa Strumica, Macedonia. Alfariki miaka 20 iliyopita (1996). Jina lake halisi ni Vangelia Pandeva Dimitrova.

Alipoteza uwezo wake wa kuona akiwa na miaka 12, kutokana na kimbunga kikubwa kilichomkumba akapotea kwa siku kadhaa. Alifariki kwa ugonjwa wa kansa ya titi.

Katika tabiri zake nyingi zilizokuwa sahihi ni kama zifuatazo:
1) Kujiimarisha kwa ISIS
2) Kuporomoka kwa Ghorofa Pacha (Twin Towers).
3) Tsunami ya 2004.
4) Kuongezeka kwa joto duniani(global warming).
5) Rais wa 44 wa Marekani atakuwa mtu mweusi, akaja kuwa Barack Obama, nk

Tabiri zinazosisimua ni kama zifuatazo;
1) Bara la Ulaya halitakuwepo ifikapo 2016, iwapo silaha za kemikali zitatumika. Kinachoendelea barani Ulaya kwa sasa mwelekeo ni kwenye utabiri huo.
2) Waislamu watavamia bara la Ulaya. Hili linaendelea kutokea.
3) China litakuwa Taifa jipya lenye nguvu ifikapo 2018 badala ya Marekani. Akaongezea kuwa mataifa nyonyaji (exploiters) yatanyonywa (exploited).
4) Mwisho wa dunia ni mwaka 3797 ila binadamu watakuwa wamendelea kiteknolojia na kuhamia sayari nyingine. Utafiti kuhusu hili unaendelea kwa kasi na matumaini mazuri.

Kuhusu Marekani kuparaganyika, kinachoendelea huko, baada ya kumchagua Trump kuwa Rais, ni dalili tosha kuelekea huko. Kwa kuwa sikio la kufa halisikii dawa, ni kusubiri tu kama huo utabiri utakuwa kweli.
 
Alaaniwe amtegemeaya mwanadamu..........alitabiri kifo chake?
 
Aise mda ni mtabiri mzuri ngoja tusubiri alijitahidi kwakweli hata kwa hayo aliotabiri
 
Mh! Kutabiri tena kifo! Hata Yesu na Muhammad hawakuweza. Tabiri, kwa kutumia viashiria, ni njia mojawapo ya kutoa tahadhari tu.
 
Alaaniwe amtegemeaya mwanadamu..........alitabiri kifo chake?

Mbona mnakuwa wepesi wa kulaani? Hapa anayelaaniwa ni nani? Huyo mama alitabiri kwa nguvu gani? Unapashwa kujiuliza mengi.

Na piamwandishi anapashwa kuweka bayana tabiri ambazo hazikutimia. Lakini pia kabla hmjaanza kuropoka, ni vizuri kufahamu kwa nini tabiri zingien huwa hazitimii japo kuwa zinaweza kuwa niza kweli.

Ni bora kusikia kuliko kunena haraka haraka.
 
Mh! Kutabiri tena kifo! Hata Yesu na Muhammad hawakuweza. Tabiri, kwa kutumia viashiria, ni njia mojawapo ya kutoa tahadhari tu.
Ni sawa ktk kutabiri kuna ma2 kutokea au kutokutokea hapa tunachoangalia ni mwelekeo wa alichokitabiri vinaendana hata kama hakitatokea kama alichokitabiri
 
Imeandikwa kwenye gazeti la Nipashe, Jumanne Novemba 15, 2016 kwa kichwa cha habari "Binadamu ataweza kubadilisha kichwa mwakani", kwamba 'Marekani itaingia katika machafuko yatakayogawanyisha majimbo ya nchi hiyo, ya Kaskazini na Kusini'.

Baba Vanga ni nani?
View attachment 434520

Baba Vanga (alijulikana kama 'the Nostradamus of the Balkans') ni mtabiri, mwanamke, kipofu, mzaliwa wa Strumica, Macedonia. Alfariki miaka 20 iliyopita (1996). Jina lake halisi ni Vangelia Pandeva Dimitrova.

Alipoteza uwezo wake wa kuona akiwa na miaka 12, kutokana na kimbunga kikubwa kilichomkumba akapotea kwa siku kadhaa. Alifariki kwa ugonjwa wa kansa ya titi.

Katika tabiri zake nyingi zilizokuwa sahihi ni kama zifuatazo:
1) Kujiimarisha kwa ISIS
2) Kuporomoka kwa Ghorofa Pacha (Twin Towers).
3) Tsunami ya 2004.
4) Kuongezeka kwa joto duniani(global warming).
5) Rais wa 44 wa Marekani atakuwa mtu mweusi, akaja kuwa Barack Obama, nk

Tabiri zinazosisimua ni kama zifuatazo;
1) Bara la Ulaya halitakuwepo ifikapo 2016, iwapo silaha za kemikali zitatumika. Kinachoendelea barani Ulaya kwa sasa mwelekeo ni kwenye utabiri huo.
2) Waislamu watavamia bara la Ulaya. Hili linaendelea kutokea.
3) China litakuwa Taifa jipya lenye nguvu ifikapo 2018 badala ya Marekani. Akaongezea kuwa mataifa nyonyaji (exploiters) yatanyonywa (exploited).
4) Mwisho wa dunia ni mwaka 3797 ila binadamu watakuwa wamendelea kiteknolojia na kuhamia sayari nyingine. Utafiti kuhusu hili unaendelea kwa kasi na matumaini mazuri.

Kuhusu Marekani kuparaganyika, kinachoendelea huko, baada ya kumchagua Trump kuwa Rais, ni dalili tosha kuelekea huko. Kwa kuwa sikio la kufa halisikii dawa, ni kusubiri tu kama huo utabiri utakuwa kweli.
Umedai alishakufa, kwa hiyo katabiri kutokea kuzimu?
 
Mbona mnakuwa wepesi wa kulaani? Hapa anayelaaniwa ni nani? Huyo mama alitabiri kwa nguvu gani? Unapashwa kujiuliza mengi.

Na piamwandishi anapashwa kuweka bayana tabiri ambazo hazikutimia. Lakini pia kabla hmjaanza kuropoka, ni vizuri kufahamu kwa nini tabiri zingien huwa hazitimii japo kuwa zinaweza kuwa niza kweli.

Ni bora kusikia kuliko kunena haraka haraka.
Soma kwa makini usikurupuke! sijalaani mtu hapo.hiyo ni fact toka Kwenye Bible.
 
Mh! Kutabiri tena kifo! Hata Yesu na Muhammad hawakuweza. Tabiri, kwa kutumia viashiria, ni njia mojawapo ya kutoa tahadhari tu.
Sijui,umewahi kusikia haya:kubomoa na kujenga hekalu kwa siku tatu,si kwa hiari yangu ila yako ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke,
 
Kwa nini hatukuyajua haya kabla ya uchaguz? Yale yale ya TB Joshua
Tabiri nyingi hurejewa baada ya kutokea kwa sababu binadamu tu wagumu kuamini.

Hata hapa kwetu, hadi watu wakumbwe na mafuriko au njaa, kwa mfano, ndipo hapo wanaamini tabiri za Mamlaka ya Hali ya Hewa!
Angeshinda Hillary ungesikia alitabiri mwanamke kuwa rais wa Marekani
 
Imeandikwa kwenye gazeti la Nipashe, Jumanne Novemba 15, 2016 kwa kichwa cha habari "Binadamu ataweza kubadilisha kichwa mwakani", kwamba 'Marekani itaingia katika machafuko yatakayogawanyisha majimbo ya nchi hiyo, ya Kaskazini na Kusini'.

Baba Vanga ni nani?
View attachment 434520

Baba Vanga (alijulikana kama 'the Nostradamus of the Balkans') ni mtabiri, mwanamke, kipofu, mzaliwa wa Strumica, Macedonia. Alfariki miaka 20 iliyopita (1996). Jina lake halisi ni Vangelia Pandeva Dimitrova.

Alipoteza uwezo wake wa kuona akiwa na miaka 12, kutokana na kimbunga kikubwa kilichomkumba akapotea kwa siku kadhaa. Alifariki kwa ugonjwa wa kansa ya titi.

Katika tabiri zake nyingi zilizokuwa sahihi ni kama zifuatazo:
1) Kujiimarisha kwa ISIS
2) Kuporomoka kwa Ghorofa Pacha (Twin Towers).
3) Tsunami ya 2004.
4) Kuongezeka kwa joto duniani(global warming).
5) Rais wa 44 wa Marekani atakuwa mtu mweusi, akaja kuwa Barack Obama, nk

Tabiri zinazosisimua ni kama zifuatazo;
1) Bara la Ulaya halitakuwepo ifikapo 2016, iwapo silaha za kemikali zitatumika. Kinachoendelea barani Ulaya kwa sasa mwelekeo ni kwenye utabiri huo.
2) Waislamu watavamia bara la Ulaya. Hili linaendelea kutokea.
3) China litakuwa Taifa jipya lenye nguvu ifikapo 2018 badala ya Marekani. Akaongezea kuwa mataifa nyonyaji (exploiters) yatanyonywa (exploited).
4) Mwisho wa dunia ni mwaka 3797 ila binadamu watakuwa wamendelea kiteknolojia na kuhamia sayari nyingine. Utafiti kuhusu hili unaendelea kwa kasi na matumaini mazuri.

Kuhusu Marekani kuparaganyika, kinachoendelea huko, baada ya kumchagua Trump kuwa Rais, ni dalili tosha kuelekea huko. Kwa kuwa sikio la kufa halisikii dawa, ni kusubiri tu kama huo utabiri utakuwa kweli.
Tabiri zake nyingi zimeshatukia, hata swala la binadamu kuendelea kiteknolojia na kuwa "interstellar capable" limeandikwa hata kwenye zile ducuments ambazo inasemekana ni leakage kutoka 'KGB"shirika la kijasusi la umoja soviet na kupewa jina la ALIEN RACES (ARB) inarekodi ya wageni (alien race) 82 na baadhi ya interview na hao aliens na baadhi ya hao aliens ndo wameinspire kutengenezwa kwa baadhi ya filamu kama Independence day, independence day ressurgence na knowing...baadhi ya nukuu kutoka ARB
"Something big is going to happen in 2017"
"It has happened before"
"The pope has been succeesfuly replaced in 2013.."
-undercover alien officer note dated on 28th FEB 2013
"Human cant become an interstellar power until they'll unite and form one society governed by peace"
" You kill each other everyday in the name of saving each other...and you have been doing that since before we talked to you"
"We can not protect you everyday...there are 5 known universe in 5 different dimension to protect"
" Of all species we have found in 3 universes you are the one with most suicidal thoughts"
" Your world is full of lines follow them"
" In 2017 you will see the beginning...in 2022 you will see the beginning of the end. Unless you all change"
"Space and time is nothing, we are nothing...She is everything"
"The signs are all around you and above you and inside of you...in the fields, the sky and stars....and in the eyes of your children and old ones"
" Soon 1 year will feel like a million to you"
"No other race ridicule other races and each other like you do"
 
Huyo alisha jifia alale salama atuache sisi tuendelee kuifaidi dunia.
Eti mwisho wa dunia, mwisho wa dunia ni pale unapo kufa.
 
Imeandikwa kwenye gazeti la Nipashe, Jumanne Novemba 15, 2016 kwa kichwa cha habari "Binadamu ataweza kubadilisha kichwa mwakani", kwamba 'Marekani itaingia katika machafuko yatakayogawanyisha majimbo ya nchi hiyo, ya Kaskazini na Kusini'.

Baba Vanga ni nani?
View attachment 434520

Baba Vanga (alijulikana kama 'the Nostradamus of the Balkans') ni mtabiri, mwanamke, kipofu, mzaliwa wa Strumica, Macedonia. Alfariki miaka 20 iliyopita (1996). Jina lake halisi ni Vangelia Pandeva Dimitrova.

Alipoteza uwezo wake wa kuona akiwa na miaka 12, kutokana na kimbunga kikubwa kilichomkumba akapotea kwa siku kadhaa. Alifariki kwa ugonjwa wa kansa ya titi.

Katika tabiri zake nyingi zilizokuwa sahihi ni kama zifuatazo:
1) Kujiimarisha kwa ISIS
2) Kuporomoka kwa Ghorofa Pacha (Twin Towers).
3) Tsunami ya 2004.
4) Kuongezeka kwa joto duniani(global warming).
5) Rais wa 44 wa Marekani atakuwa mtu mweusi, akaja kuwa Barack Obama, nk

Tabiri zinazosisimua ni kama zifuatazo;
1) Bara la Ulaya halitakuwepo ifikapo 2016, iwapo silaha za kemikali zitatumika. Kinachoendelea barani Ulaya kwa sasa mwelekeo ni kwenye utabiri huo.
2) Waislamu watavamia bara la Ulaya. Hili linaendelea kutokea.
3) China litakuwa Taifa jipya lenye nguvu ifikapo 2018 badala ya Marekani. Akaongezea kuwa mataifa nyonyaji (exploiters) yatanyonywa (exploited).
4) Mwisho wa dunia ni mwaka 3797 ila binadamu watakuwa wamendelea kiteknolojia na kuhamia sayari nyingine. Utafiti kuhusu hili unaendelea kwa kasi na matumaini mazuri.

Kuhusu Marekani kuparaganyika, kinachoendelea huko, baada ya kumchagua Trump kuwa Rais, ni dalili tosha kuelekea huko. Kwa kuwa sikio la kufa halisikii dawa, ni kusubiri tu kama huo utabiri utakuwa kweli.
Why now?
 
Back
Top Bottom