ICC kuishtaki Marekani?

ICC kuishtaki Marekani?

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
7,295
Reaction score
3,952
Ripoti ya awali ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC, imebaini kwamba jeshi la Marekani na shirika la ujasusi CIA, huenda zilitekeleza makosa ya jinai dhidi ya binadamu nchini Afghanistan.
_92446842_iccbuilding.jpg

Ripoti hiyo, iliyotolewa na mwendesha mshataka wa mahakama hiyo Fatou Besouda, inasema kwamba ushahidi wa wafungwa 100 umebaini kwamba walinyanyaswa na kudhulumiwa, huku wengine wakibakwa.

Ripoti hiyo inasema visa vingi vilitokea mwaka 2003 na 2004, japo kuna visa vimeripotiwa miaka 2 ilopita.

Uhalifu sawa na huo unasemekana umetekelezwa katika vizuizi vya siri vinavyosiomamiwa na CIA nchini Poland, Romania, na Lithuania.
 
Baada ya kusikia nchi za Africa zinataka kujitoa ktk huo upuuzi wao, wanaamua kuja na story za uongo.
 
Baada ya kusikia nchi za Africa zinataka kujitoa ktk huo upuuzi wao, wanaamua kuja na story za uongo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Alafu baada ya mwezi mmoja wameingia mtini na mafaili yao uchwara
 
Baada ya kusikia nchi za Africa zinataka kujitoa ktk huo upuuzi wao, wanaamua kuja na story za uongo.

hizi nchi za kiafrika ni bora zikabaki icc make hukumu ya icc ni bora kuliko zile hukumu za mmarekani, refer sadam na ghadafi
 
Back
Top Bottom