mafimboo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 2,415
- 978
Leo kwenye vyombo vya habari tumemsikia rais mteule wa marekani trump akitangaza kutopokea mshahara wake ,huyu ndiye mzalendo wa kweli,na ndio raha ya kuchagua rais mfanyabiashara ,pesa kwake si shida anachotaka ni kusaidia marekani,sisi tunachagua rais asiyekuwa hata na kibanda cha mpesa,unategemea nini,lazima awe na tamaa ya fedha na mwisho wa siku anaharibu uchumi wa nchi,
Yeye kila mwenye hela ni mpiga dili kwa sababu haamini kwenye biashara,kama yeye mwenyewe kashindwa kuboresha maisha yake kwa elimu yake na kuwa mfano kwa jamii anapata wapi ujasiri wa kuwaambia wananchi wajiajiri badala yake ameloea kwenye kazi za mishahara atawezaje kuwaongoza wengine,
Wamarekani wamemchagua Trump baada ya kuwambia atatatua tatizo la ajira kwasababu yeye ni mfano halisi wa kujiajiri na kufanikiwa, Trump hakuropoka kuwa ataleta viwanda kama huyu , Kama viwanda ndio suluhisho la ajira basi Trump angeahidi kujenga viwanda vingi sana,
Marais ni marekani na ulaya huku Afrika hatuna marais ni marais matumbo, Wewe unasema ati nitawapunguza mishahara wale waliokuwa wanalipwa mishahara mikubwa waishi kama mashetani wakati yeye analipwa milion 35 kwa mwezi,angepunguza kwanza wa kwake, Huo ni wivu