Waziri mkuu, Nicola Sturgeon amesema ataomba ruhusa ya kufanyika kura ya maoni kwa mara ya pili kuhusu uhuru wa Scotland. Amedai kura hio ifanyike kati ya 2018 na 2019 na ataliomba bunge la nchi wiki ijayo.
Amesema wananchi wa Scotland wanatakiwa kuruhusiwa kuchagua kati ya kuwa Brexit au kuwa nchi huru.
Amesema wananchi wa Scotland wanatakiwa kuruhusiwa kuchagua kati ya kuwa Brexit au kuwa nchi huru.