Hakuna kitu kama hicho kwa Rais huyu Mr Trump sio rahisi kutokea hivyo. Hizo habari ni habari Feki sio habari za ukweli.Nimepata taarifa kuwa Watanzania hawahitaji viza ya kwenda Marekani na wataruhusiwa kukaa Marekani miezi sita. Je hizi ni habari za kweli ?
Anauliza tu huyu ndio maana anasema amesikia.....hana uhakikaUongo tena uliokomaaa.
Coz taarifa yako haina chanzo chochote.
Hata Trump akiruhusu hilo, Magufuli atakataza.Nimepata taarifa kuwa Watanzania hawahitaji viza ya kwenda Marekani na wataruhusiwa kukaa Marekani miezi sita. Je hizi ni habari za kweli ?
Nimecheka sana mkuu...Hata Trump akiruhusu hilo, Magufuli atakataza.
Bado anataka kuwakamua kodi.
Credibility of the source.Ruben Makundi na Radio France international kiswahili wameudanganya umma na dunia kwa ujumla kwa kuhariri kitu ambacho hakipo wala hakikuwahi kutamkwa na serikali ya Marekani au Trump kama walivyotuaminisha kwenye ile habari..