Kim Jong ni mtu asiyejielewa au ni mtu hodari mwenye mahesabu yake?

Sokoro waito

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
2,201
2,598
Huyu ndiye kiongozi wa nchi ya Korea kaskazini tangu baba yake alipofariki mwaka 2011, kulingana na majaribio 3 ya nuklia aliyoyafanya huku akitunishana msuli na Marekani(pamoja na nchi washirika).

Analysts wengi wanasema kuwa ni 'MWANGALIFU MWENYE MAHESABU' (source:www.cnn.com Je wewe unafikiri huyu jamaa ni kichaa asiyejielewa au ni mtu hodari mwenye mahesabu ya kile anachokifanya?
 
Hadi Mchina ameanza kumgeuzia kibao maana ameona ni kichaa asiyetaka kushauriwa. Juzi Trump ameapa kufanya jambo la kweli kama Mchina hatomtuliza huyo dogo Kim, maana ana mihemko ya kichizi. Trump mwenyewe chizi asiyejali cha nini wala nini, hivyo China wameona balaa na wakawa tayari kulishughulkia hili suala.
 
Kim jong un....mayunga mtu mkavu wa mamlaka za pyongyang , wakimzengua tu jamaa wa ulaya na.marekani yeye anawatia vitasa fasta. Dogo ni mbishi aisee ,yeye ukizengua una chezea zako 2 tatu unasepa.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kim jong ni mbwa koko tu kila siku anapiga kelele ila haumi mtu. Hayo mabomu yake siku yakikosea njia yakatua japan ndo itakuwa mwisho wa kim jong
 
Jicho la tatu!!.

Huyo Kim ni kibaraka wa marekani tu,anafanya fanya figisu kila siku makusudi ili marekani wapate sababu ya kuisogelea China karibu kwa kisingizio cha kujaribu kumdhibiti huyo dogo.
Mpango huu upo tangu enzi ya babayake don't play with CIA they are very clever.

Otherwise wangesha mnyoosha maana hana uwezo wowote wa kuwazuiya US marine wasi mvuruge it's just strategic.
 
Teh!, dogo is such an attention Seeker. Alirusha Kombora wakati Trump alifanya mkutano na Mjapani Shinzo Abe, na leo tena karusha lingine kufuatia mkutano wa Trump na China's president Xi. Kama sio kutaka nae aonekane sijui ni nini.
Marekani nako walioshika Nchi sasa ni War-Mongers, ngoja watwangane.
 
Huwa kuna muda nashindwa kuamini katika vita hiyo ambayo siombei hata chembe itokee nani ataibuka mshindi maana nkiangalia pande zote mbili naona kama hatari itakuwa kubwa vile. Wacha tuone itakuwaje.
 
Sio muoga. Na inawezekana kuna watu wenye nguvu duniani wanamuunga mkono kwa siri. Alishasema hatoshambulia Nchi yoyote kabla ya kushambuliwa. Anajiimarisha kijeshi tu.
 
Jicho la tatu!!.

Huyo Kim ni kibaraka wa marekani tu,anafanya fanya figisu kila siku makusudi ili marekani wapate sababu ya kuisogelea China karibu kwa kisingizio cha kujaribu kumdhibiti huyo dogo.
Mpango huu upo tangu enzi ya babayake don't play with CIA they are very clever.

Otherwise wangesha mnyoosha maana hana uwezo wowote wa kuwazuiya US marine wasi mvuruge it's just strategic.
Si dhani kama unaijua historia ya korea mpaka kuja kugawanyika. Kama umeshawahi kuisikia cold war na matokeo yake.
 
Back
Top Bottom