Which phone does Donald Trump use?

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
1,011
2,000
Inaitwa Airtrump cell phone
Kama Ile ndege yake .Trump air ways. Kuna pia Trump tower iko New York ,Manhattan mkuu ,
 

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,183
2,000
Tangu achaguliwe anatumia BlackBerry nasikia ndo iko encrypted, kwamba haiwezi kudukuliwa kama hizi simu za android na ios
 

Tempon

JF-Expert Member
Mar 14, 2017
234
500
Trump Yuko na BB ila pia tweets zile anatumia Samsung na Apple, SS wanapata changamoto sana Juu ya kulinda mawasiliano yake
 

herikipaji

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
1,001
2,000
Hata kama anatumia simu kutoka Jupiter ikishakuwa access na internet tu basi ni shamba la bibi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom