Rais wa China atua Moscow kuongea na Putin

Rais wa China atua Moscow kuongea na Putin

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
7,476
Reaction score
9,654
5bdb2efd3064371f0832764137b4de91.jpg


Rais wa China anazuru nchini Urusi kwa mara ya tatu mfululizo ndani ya mwaka huu tu kujadili na Putin mambo mbalimbali.

Ujio huo wa Xin Jinping kwa Urusi umepokelewa kwa mikono miwili huku Rais wa Urusi bwana Vladimir Putin akiuita ni tukio kubwa na muhimu kwa mahusiano ya nchi zao.
Inaarifiwa kwamba bwana Putin siku ya Jumatatu (Leo) atakua na mkutano maalum na bwana Xi kujadili mambo mbalimbali.

Embu tuangalie baadhi ya mambo ambayo yatakua moja ya ajenda katika ujio/mkutano huo.

•Kusaini dili lenye thamani ya dola bilioni 10 ($10billion)

•Uwekwaji mtambo wa Marekani wa kudungua makombora (THAAD) nchini Korea kusini

•Mgogoro wa South China sea

•Ushirikiano kuhusu mambo ya kifedha

•Uwekezaji

•Biashara (Biashara baina ya nchi hizo kwa mwaka huu pekee tangu January had April imekua kwa asilimia 37,ikifikia dola za kimarekani billioni 24.5 ($24.5 billion)
.
 
tutafika lini huko ambapo raisi wetu akienda hapo kenya basi hata warusi au wachina kwenye forums zzao waandike kama wewe ulivyofanya hapa?
 
Halafu wana msimamo hao, pamoja na uwepo wa mchina karibu lakini wenyewe ndo kwanza wanaendelea wanajikusanya kijeshi mchana kweupe.
Tuombe uhai Taiwan haitofanikiwa kujinasua kwa mchina maana wachina siyo wa sports sports
 
Back
Top Bottom