Adui namba moja wa uchumi wa Marekana ni Ulaya iliyoungana na sarafu ya euro. Marekani inakasirishwa na upanuzi wa umoja wa ulaya kuelekea Mashariki. Upanuzi huu wa ulaya unaibana Marekani kwa...
Wanakumbi.
Kundi la Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuripotiwa kuwakamata wengine 4.
Hata hivyo Israel imedai kuwa ni mwanajeshi mmoja tu aliyeuawa na wengine 11 wako...
Hawa Wairani kuwaelewa ni ngumu, baadhi ya viongozi waliodaiwa Kuuliwa na Israel wameonekana kwenye sherehe za kusherehekea ushindi huko Tehran.
Miongoni mwao ni mkuu wa jeshi la mapinduzi ya...
IDF ilifanya mashambulizi makubwa dhidi ya Houthis nchini Yemen.
Walilenga idadi kubwa ya viongozi wa Houthi ambao walikuwa wamekusanyika pamoja kutazama hotuba ya mkuu wa Houthi Al-Malak...
Mwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W).
Polisi walilaani mauaji ya mwanamke...
Jamuhuri ya Demokrasia Congo imethibitisha mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola kusini mwa mji wa Kasai ambapo hadi sasa kuna wagonjwa 28 wanaoshukiwa kuambukizwa na idadi ya vifo 15. Wizara ya Afya...
Waziri wa zamani wa sheria Jamuhuri ya kidemokrasia Congo, Constant Mutamba, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu cha kazi ngumu kwa kosa la kufuja dola milioni 19 zilizotengwa kwa ujenzi wa...
Mytake:Sasa wavaa vipedo, misuli na makobazi wanapigwa kotekote,ardhini,majini na angani.
.....
The IDF revealed a shift in Gaza warfare: suicide drones now kill most Hamas terrorists. The...
Leo mjini Lusaka, Zambia kumekuwa na gumzo la aliyekuwa waziri wa mambo ya nje Mh Joe Malanji kupatikana na hatia za ufisadi mkubwa wakati wa utawala wa hayati Edgar Lungu. Kahukumiwa miaka minne...
Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF), Brigedia Jenerali Effie Defrin, amesema katika mkutano na waandishi wa habari kuwa Jeshi la Anga la Israel leo limeishambulia kituo cha nyuklia cha Iran...
Hatimaye makabiliano ya kuviziana kati ya Israel na Irani yameisitishwa huku Israel na Marekani wakifikia malengo Yao ya kuidhoofisha Irani na kuipokonya mradi wake wa nuklia,
Irani kwa miaka...
Rais wa Marekani Donald Trump hii leo anatarajiwa kutia saini amri itakayobadili jina la wizara ya ulinzi ya nchi hiyo kuwa wizara ya vita, jina ambalo lilitumika wakati Marekani iliposhinda vita...
Sera zisizotabirika za Rais Trump zinawafanya baadhi ya viongozi wa mataifa duniani kuzidi kushikamana!
Ila kidogo kidogo hawa Wachina wanakuja juu sana kiteknolojia, hususan kwenye vifaa vya...
Huko Viterbo, Italia, polisi waliwakamata wahamiaji wawili wa Kituruki waliokuwa na bunduki, bastola, na risasi nyingi waliokuwa tayari kufyatulia umati wa Wakatoliki 40,000 waliokusanyika kwa...
ERDOGAN, Rais wa Uturuki amenukuliwa akisema hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na israel ili kulinda utu.
Maneno hayo yametamkwa Uturuki ikijiandaa kutuma wanajeshi tajriban laki moja...
Benjamin Netanyahu anazidi kuchanganyikiwa na kuwa kama mwendawazimu huku akiwatukana viongozi wenzake wa nchi za nje kwamba ni madhaifu sana.
Matusi hayo amekuwa akiyatoa bila kuzuizi jambo...
Wakuu
Hivi mmepita huko X hivi karibuni
Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi.
Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na...
Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu:
Kwa bahati mbaya, hii inazungushwa zaidi na magaidi wa Hamas ambayo hawana jipya.
Vita vinaweza kumalizika mara moja kwa masharti yaliyowekwa na Baraza la...