International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

HI!!!!!! WanaJF habari za muda, napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa upendo wake wapekee kabisa kwa kutujali afya njema na tele. ndg, zangu kwa ufupi,sisi ni vijana wazalendo na wenye nia ya...
0 Reactions
2 Replies
949 Views
VATICAN: Papa Francis amepiga marufuku uuzwaji wa sigara katika mji huo kuanzia mwaka 2018, sababu ya madhara yake kiafya Msemaji wa Vatican Greg Burke amesema Papa hawezi kushiriki kwenye kitu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
MOSCOW, URUSI: Watu 3 wamefariki dunia baada ya sehemu ya Jengo la Intelijensia ya Nje(SVR) kuteketea kwa moto. Taarifa zinasema kuwa watu hao walikwama ktk eneo la chini la jengo hilo wakati...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Tangu Trump ashinde urais wa Marekani nimeona akihusishwa sana na tunu za kikatoliki na hata yeye kusema wazi ataziendeleza. Pia ameonekana kusifia kazi kubwa inayofanywa na taasisi za kikatoliki...
8 Reactions
135 Replies
12K Views
Rais wa Marekani Bw Donald Trump ameiasa nchi ya Korea Kaskazini kufanya mazungumzo kuhusu mpango wake wa silaha za kinyuklia, Rais Trump ameongea hayo leo tarehe 7.11.2017 wakati anaongea na...
10 Reactions
55 Replies
5K Views
Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga amependekeza Serikali ya muda iundwe nchini humo na kutawala kwa muda wa miezi sita kama sehemu ya kutatua mzozo wa kisiasa nchini humo. Bw. Odinga...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
makamu wa rais wa zimbabwe alietimuliwa na rais zimbabwe amekimbilia afrika ya kusini yeye na familia yake akihofia usalama wake Rais mugabe alimtimua makamu wake huyo akimtuhumu kutaka kumpindua...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kampuni ya usafiri ya Uber imekaribia kufanikisha azma yake ya kuunda magari yanayopaa kwa kuungana na Shirika la Safari za Anga la Marekani (NASA) na kuondoa adha ya foleni za magari mjini Uber...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Watu 26 wameuawa kwa kupigwa risasi na mtu mwenye silaha aliyewafyatulia risasi waumini katika kanisa moja jimbo la Texas wakati wa ibada, maafisa wanasema. Shambulio hilo lilitekelezwa katika...
6 Reactions
145 Replies
13K Views
Saudi Arabia could seize $800bn in assets in corruption crackdown The Saudi anti-corruption push involving the arrest of princes and government ministers may lead to the confiscation of cash and...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
-Asema asijaribiwe. -Aenda kwa siri eneo hatari (DMZ) karibu na mpaka wa North Korea, hali ya hewa yawa pingamizi.. -Trump Asks Congress for Another $5.9 Billion for Military, Citing North...
3 Reactions
67 Replies
6K Views
Ilikuja habari hapa na watu kuanzia kusifia mwanamama aliyekuwa kwenye baiskeli na kuuonyeshea msafara wa Raisi wa USA kidole cha kati, sasa huyu mama Juli Briskman amefukuzwa kazi kwa kitendo...
13 Reactions
73 Replies
7K Views
Hatareee! Picha za satelaiti zimeonesha movements za vifaa, madini, mikokoteni na nyenzo husika za majiribio ya kinyuklia ndani ya eneo la West Portal kwenye kituo cha majaribio ya silaha za...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Diane Shima ni mtutsi alizaliwa Kigali 1981, ni mjasiriamali mwanaharakati wa haki za wanawake na kitaaluma ni mhasibu,bado hajaolewa. Ni mtoto wa aliyekuwa mfanyabiashara tajiri nchini Rwanda...
30 Reactions
97 Replies
19K Views
Mkutano mkubwa unaounga mkono uhuru wa Catalonia kutoka Hispania unatarajiwa kufanyika mjini Barcelona leo, wakati mgogoro wa kisiasa nchini humo ukiendelea. Kiongozi wa zamani wa Catalonia...
0 Reactions
1 Replies
824 Views
United Nations (United States) (AFP) - The United Nations on Tuesday demanded the Saudi-led coalition lift a blockade that has prevented aid deliveries from reaching Yemen where some seven million...
1 Reactions
0 Replies
920 Views
Protesters blocked roads across Catalonia this morning during a strike to demand the freedom of jailed pro-independence politicians and activists. One group forced the closure of a busy route...
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Wachapishaji wa kitabu kinachozungumzia kuhusika kwa kiwango kikubwa kwa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma katika vitendo vya rushwa wameapa kukaidi shinikizo la shirika la ujasusi la nchini humo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WALES: Mwanasiasa wa chama cha Labour, Carl Sargeant(49) amejiua baada ya kusimamishwa na na chama chake kwa tuhuma za udhalilishaji. ==== Image caption Carl Sargeant had been a Welsh Government...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Israel kujaribu kuingilia suala la North Korea na mpango wake wa silaha za nyuklia na makombora ya balistiki Katika theluthi ya mwanzo ya mwaka huu, 2017, Israel ilijaribu kuishambulia kwa maneno...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…