North Korea kufanya jaribio la 7 la silaha za kinyuklia

King0001

King0001

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Messages
204
Likes
280
Points
80
King0001

King0001

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2017
204 280 80
Hatareee!

Picha za satelaiti zimeonesha movements za vifaa, madini, mikokoteni na nyenzo husika za majiribio ya kinyuklia ndani ya eneo la West Portal kwenye kituo cha majaribio ya silaha za kinyuklia.

Wanaume wapo kazini kimya kimya, na punde tutapata mrejesho wa kazi yao adhimu... Tutasikia vilio vya waliojawa na hofu vikipazwa kuelekea pande zote za dunia, vikiomba msaada!

Source: Express. co.uk/news

North Korea to STRIKE? Shock photos reveal NUCLEAR ACTIVITY as Trump arrives on border
NORTH KOREA is feared to be plotting a seventh nuclear test according to shock new satellite footage.
By Leigh Boobyer
PUBLISHED: 00:01, Tue, Nov 7, 2017 | UPDATED: 08:48, Tue, Nov 7, 2017

Scientists have been operating in a new area of the Punggye-ri Nuclear Test site, satellite images reveal, as Donald Trump embarks on a diplomatic trip across five nations in Asia for 13 days.

This morning the US President arrived in neighbouring South Korea where he threatened more action against Kim Jong-un’s nation.

Now speculation mounts that North Korea is orchestrating a seventh nuclear test as Mr Trump meets Asia’s political elite.

The satellite images reveal movement of equipment, mining, carts, material and netting within the area of the West Portal in the test site.

NK-1121070.jpg
38NORTH

Satellite images reveal activity since the launch of North Korea's sixth test in September
NK-1121072.jpg
38NORTH

The Main Administrative Area has overall appeared inactive since the September nuclear test
North-korea-1121074.jpg
38NORTH

Covered stack of materials or new structure observed at the support area
At the North Portal, where the last five of the six nuclear tests were conducted, two temporary structures near the portal’s entrance that were likely associated with the September test have been removed, and move vehicles, mining equipment or materials have been observed in this area since the test.

The West Portal has experienced little to no activity for the past several months, according to 38north, but the movement of mining cars were noted in the days after the sixth test and have increased significantly in subsequent weeks.
 
COSMOLOGIST

COSMOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Messages
607
Likes
671
Points
180
COSMOLOGIST

COSMOLOGIST

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2015
607 671 180
Hawa jamaaa ni hatareeeee
 
shinji majige

shinji majige

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Messages
566
Likes
187
Points
60
shinji majige

shinji majige

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2014
566 187 60
Mm hata sielewi zaidi aise
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
8,634
Likes
10,033
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
8,634 10,033 280
Trump amesema atawauzia Japan vifaa vya kutungulia!

Team trump forever
Sio atawauzia bali Japan wanavyo sema walikuwa hawaruhusiwi kuvitumia wakati usio wa vita.
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,177
Likes
8,931
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,177 8,931 280
....
Wanaume wapo kazini kimya kimya, na punde tutapata mrejesho wa kazi yao adhimu... Tutasikia vilio vya waliojawa na hofu vikipazwa kuelekea pande zote za dunia, vikiomba msaada!
....
Umenikumbusha mambo ya "malenga wetu". Yaani misafara yao imeshaonekana kwenye satelaiti halafu unawasifia hivyo Mkuu? Kama adui ameshakuona nyendo zako na vifaa vyako vyote kuna kitu hapo? Sometimes tupunguze mahaba yasiyo ya lazima.
 
Kyambambembe

Kyambambembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Messages
317
Likes
289
Points
80
Kyambambembe

Kyambambembe

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2015
317 289 80
Kuonesha sehem unapo dentist majaribio sio issue mbona maranyingi huwa wanawaonesha majaribio yao
 
Quinn

Quinn

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
222
Likes
383
Points
80
Quinn

Quinn

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
222 383 80
Trump amesema atawauzia Japan vifaa vya kutungulia!

Team trump forever
Hakuna mtambo duniani wa kuzuia bomu la nuclear otherwse vipande vipande vya material ya nuclear vikianguka tu chini ni hatari...u may prevent an explosion and exposing ur citizens' health to radioactive material
 
fundi25

fundi25

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Messages
6,248
Likes
3,496
Points
280
fundi25

fundi25

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2013
6,248 3,496 280
Umenikumbusha mambo ya "malenga wetu". Yaani misafara yao imeshaonekana kwenye satelaiti halafu unawasifia hivyo Mkuu? Kama adui ameshakuona nyendo zako na vifaa vyako vyote kuna kitu hapo? Sometimes tupunguze mahaba yasiyo ya lazima.
Unafikiri wenyewe hawajuwi kama wana onekana unahisi ni wajinga!!
kuona sio tatizo kwani we mawingu huyaoni je unaweza yashika kwa mkono!!!
 
Mshabahah

Mshabahah

Senior Member
Joined
Feb 21, 2017
Messages
162
Likes
209
Points
60
Mshabahah

Mshabahah

Senior Member
Joined Feb 21, 2017
162 209 60
Hatareee!

Picha za satelaiti zimeonesha movements za vifaa, madini, mikokoteni na nyenzo husika za majiribio ya kinyuklia ndani ya eneo la West Portal kwenye kituo cha majaribio ya silaha za kinyuklia.

Wanaume wapo kazini kimya kimya, na punde tutapata mrejesho wa kazi yao adhimu... Tutasikia vilio vya waliojawa na hofu vikipazwa kuelekea pande zote za dunia, vikiomba msaada!

Source: Express. co.uk/news

North Korea to STRIKE? Shock photos reveal NUCLEAR ACTIVITY as Trump arrives on border
NORTH KOREA is feared to be plotting a seventh nuclear test according to shock new satellite footage.
By Leigh Boobyer
PUBLISHED: 00:01, Tue, Nov 7, 2017 | UPDATED: 08:48, Tue, Nov 7, 2017

Scientists have been operating in a new area of the Punggye-ri Nuclear Test site, satellite images reveal, as Donald Trump embarks on a diplomatic trip across five nations in Asia for 13 days.

This morning the US President arrived in neighbouring South Korea where he threatened more action against Kim Jong-un’s nation.

Now speculation mounts that North Korea is orchestrating a seventh nuclear test as Mr Trump meets Asia’s political elite.

The satellite images reveal movement of equipment, mining, carts, material and netting within the area of the West Portal in the test site.

NK-1121070.jpg
38NORTH

Satellite images reveal activity since the launch of North Korea's sixth test in September
NK-1121072.jpg
38NORTH

The Main Administrative Area has overall appeared inactive since the September nuclear test
North-korea-1121074.jpg
38NORTH

Covered stack of materials or new structure observed at the support area
At the North Portal, where the last five of the six nuclear tests were conducted, two temporary structures near the portal’s entrance that were likely associated with the September test have been removed, and move vehicles, mining equipment or materials have been observed in this area since the test.

The West Portal has experienced little to no activity for the past several months, according to 38north, but the movement of mining cars were noted in the days after the sixth test and have increased significantly in subsequent weeks.
Daaaah warushe ata leo, nlimic sana kuona makombora yakitestiwa. Viva pyongyang
 
King0001

King0001

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Messages
204
Likes
280
Points
80
King0001

King0001

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2017
204 280 80
Sio atawauzia bali Japan wanavyo sema walikuwa hawaruhusiwi kuvitumia wakati usio wa vita.
Teh...Teh...Mkuu, Yaani wanavyo vifaa halafu Kim kawapitishia makombora ya balistic kwenye anga lao mara 2 ktk nyakati tofauti na wala hawajajaribu hata kutungua 1! Hii ngumu kumeza Mkuu..
 
King0001

King0001

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Messages
204
Likes
280
Points
80
King0001

King0001

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2017
204 280 80
Daaaah warushe ata leo, nlimic sana kuona makombora yakitestiwa. Viva pyongyang
Mkuu, yaani mimi kila kukicha najitahidi nipitie news nione kama jamaa wametest kitu. Wanapotest moyo wangu kwa kweli huwa wasuuzika saaana!
 
K

kilicho

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
1,028
Likes
710
Points
280
K

kilicho

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
1,028 710 280
Unafikiri wenyewe hawajuwi kama wana onekana unahisi ni wajinga!!
kuona sio tatizo kwani we mawingu huyaoni je unaweza yashika kwa mkono!!!
Hahahaaaaaa
 
King0001

King0001

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Messages
204
Likes
280
Points
80
King0001

King0001

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2017
204 280 80
Umenikumbusha mambo ya "malenga wetu". Yaani misafara yao imeshaonekana kwenye satelaiti halafu unawasifia hivyo Mkuu? Kama adui ameshakuona nyendo zako na vifaa vyako vyote kuna kitu hapo? Sometimes tupunguze mahaba yasiyo ya lazima.
Mkuu kumbuka kuwa North Korea sio Tz yetu, nao wako njema. Wanamiliki satellite angani na wao pia huwachungulia maadui zao...sema hawahitaji kupiga kelele. Wangekuwa wazembe wasingeweza hata kudukua taarifa nyeti za mahasimu wao, ikiwemo US.
Kumbuka maadui zao wanawezaona tu ishara za shughuli kufanyika ktk test sites BUT aina ya kombora/silaha, muda wa kurushwa na hata eneo litaporushiwa hubaki kitendawili.
 
Forum statistics

Threads 1,237,655
Members 475,675
Posts 29,296,067