Mkutano mkubwa unaounga mkono uhuru wa Catalonia kutoka Hispania unatarajiwa kufanyika mjini Barcelona leo,


real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,257
Likes
5,104
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,257 5,104 280
Mkutano mkubwa unaounga mkono uhuru wa Catalonia kutoka Hispania unatarajiwa kufanyika mjini Barcelona leo, wakati mgogoro wa kisiasa nchini humo ukiendelea.

Kiongozi wa zamani wa Catalonia Carles Puigdemont na mawaziri wengine wanne wa zamani ambao wako uhamishoni Brussels, wanatarajiwa kufikishwa mahakamani nchini Belgium, na kuweza kurudishwa tena Hispania.

Awali Puigdemont aliwataka viongozi wa Muungano wa Ulaya kutoa hakikisho kwamba wataunga mkono matokeo ya uchaguzi wa jimbo hilo mwezi ujao hata kama uchaguzi huo utasababisha jimbo hilo kujitenga na Hispania.

Katika hotuba yake kwa Mameya wa Catalonia ambao watakwenda Brussels, ameuliza kama viongozi hao wataendelea kuunga mkono kile alichokitaja kuwa mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa na waziri mkuu wa Hispania Maria Rajoy.

Chanzo: BBC Swahili
 

Attachments:

Waterloo

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
14,865
Likes
16,472
Points
280
Waterloo

Waterloo

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2010
14,865 16,472 280
zanzibar mjifunze haki haiombwi inadaiwa
 

Forum statistics

Threads 1,236,472
Members 475,125
Posts 29,259,096