Umoja wa Afrika umemtaka Rais wa Marekani, Donald Trump kufika katika kikao cha umoja huo kitakachofanyika nchini Ethiopia mwezi huu kutokana na matamshi ya kibaguzi anayodaiwa kuyatoa hivi...
Habari wanaJF,
Siku ya Januari 3 mwaka huu(2018) katika Jiji la Kinshasa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini Congo DRC aliitisha mkutano na waandishi habari na kumtaka Rais kabila aondoke...
Trump Administration Proposes More Changes to H-1B Visa Program
They’re part of the ‘Buy American, Hire American’ strategy
By MONICA ROZENFELD 18 January 2018
Photo: iStockphoto
For IEEE...
Nampongeza trump kwa kutuambia ukweli sisi mijitu mieusi,kama rangi zetu zilivyo,ndivyo mioyo yetu ilivyo,ni watu waajabu sana,tunaroho mbaya sana,tunapenda sifa sana ngono ndo kabisa utafikiri...
Taarifa ya habari ITV.
DRC Congo.
Taarifa hiyo inasema polisi walifika na kuzingira kanisa Katoliki wakati misa ikiendelea, baadaye walirusha bomu ndani ya kanisa, waumini watano wamefariki na...
Kabila MUST GO!
EAC iwasaidie ndugu zetu wa Congo na ikiwezekana baada ya hapo Congo iingie EAC.
Nikisema EAC namaanisha Kenya na Tanzania.
Museveni, Kagame, Nkurunziza na Salva Kiir wote ni majipu!
Wachina wadhihirisha ufanisi kwenye utendaji, baada ya wafanyi kazi 1,500 kujenga reli ndani ya masaa tisa na ikawa tayari kwa matumizi. Afrika tuna mengi ya kujifunza, sio kulialia kila siku...
Mtaalamu wa anga za juu nchini Marekani Jeanette Epps ameondolewa kutoka kwenye safari inayotarajiwa hivi karibuni ya kwenda Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS) miezi michache kabla ya...
Muda huu makamu wa Rais wa Marekani yupo ndani ya bunge la Israel baada ya kutembelea jordan, pence anasema msimamo wa kuamishia ubalozi wao jelusalem uko palepale na maandalizi yataanza muda si...
Anatoa tafakuri ya 'shit-hole countries' akitumia Nchi yake ya Nigeria (anayoitambua zaidi) kama mfano. Kijana huyo asema Nigeria ni nchi iliyo na taratibu za hovyo (shit-hole country). Na ataja...
Limeidhinisha matumizi ya muda kufadhili shughuli za serikali katika kumaliza mjadala uliozua sitofahamu kwa siku tatu.
Muswada huo, ulioidhinishwa na idadi kubwa ya maseneta, utasaidia kufadhili...
Najua wengi huenda watanipinga lakini ukweli ni kwamba endapo chadema watashiriki uchaguzi wa kinondoni na siha basi jumuiya za kimataifa huenda wakashangaa kusikia chadema akishiriki uchaguzi wa...
Rais Kabila ameingia kwenye mgogoro na Kanisa Katoliki baada ya kuvunja makubaliano ya kutoongeza muhula mwingine kama katiba inavyosema.
Kanisa Katoliki liliamua kuitisha maandamano ya amani...
US government goes into shutdown after Senate rejects funding bill
The United States has its first government shutdown in nearly five years after senators failed to reach a deal to keep the...
Habari wanajukwaa.
Ktk ripoti za BBC Leo ni kuwa maaskofu wa kanisa katoliki wamewaasa wakiristu wote waingie mitaani kuandamana Mara tu baada ya ibada ya jumapili. Kila mkiristu ameambiwa...
Ghasia zilizozuka katika Kanisa moja huko Kaunti ya Nyandarua zasababisha Watu 5 kufariki Dunia na wengine kukamatwa na Askari wa Jeshi la Polisi
Ghasia hizo zimesababishwa na Waumini wanaomuunga...
Kutokana na kuzidi kupanda kwa gharama za maisha na hasa kodi na bei za nyumba watu wengi wamejikuta kukosa sehemu maalumu za kuishi. Pia state hiyo ina sheria zinazowalinda watu hao hivyo...
Huku Bujumbura, Burundi mtu mmoja amefariki hapo hapo baada pikipiki mbili kugongana. Mashuhuda wamesema kuwa , kulikuwa na pikipiki mbili. Moja ndio ilikuwa inatumika kwa Wizi na ndio mmoja wao...
Chama tawala nchini Zimbabwe ZANU-PF kimetangaza kuwafukuza ubunge wabunge wake 11 ambao ni washirika wa rais wa zamani Robert Mugabe. Haya yanajiri wakati Rais Emmerson Mnangagwa akiendelea...