Korea Kusini yatoa msaada wa fedha kwa Korea Kaskazini.

Rotomoto

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
993
1,954
Korea Kusini imetoa msaada wa fedha kiasi cha milioni mbili dolla za kimarekani, kwa ajiri ya kulipia gharama za wachezaji wa michezo ya olympic waliotoka Korea Kaskazini.
Chanzo BBC.

Hivi Mike Pence na Trump watafikiriaje swala hii au misaada ya kimichezo haimo kwenye vikwazo?.
 
Unaweza kuta nyuma ya mpango huo yupo USA kuna kitu anakitafuta ss ameona awatumia hao wa kusini kuwafikia akina ping-pong, only time will tel niger
Huu ugomvi anauchochea Marekani ndiyo maana akiona kuna dalili za wao kupatana anakuja na kitu cha kuharibu hali hiyo. anayefaidika ni yeye kwa SK kulipia ulinzia
 
Muwe mnasoma,ni kawaida Korea kusini kuwapa msaada Korea kaskazini na siyo mara ya kwanza.Hao ni ndugu
 
Wakorea wanapaswa kuungana kama Wamatumbi wa Tanganyika na wa Zanzibar tulivyoungana ingawa kuna Mashombe Shombe wachache wanaoleta chokochoko zao.
 
Back
Top Bottom