NIGERIA: Karani wa Bodi ya Mitihani adai Nyoka amekula zaidi ya Milioni 227

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Karani mmoja nchini Nigeria amefukuzwa kazi baada ya kuwaambia wakaguzi wa hesabu kuwa nyoka alikula naira milioni 36.

Pesa hizo ni sawa na dola 100,000 za kimarekani sawa na zaidi ya Milioni 227 za Kitanzania

Karani Philomena Chieshe alikuwa akifanya kazi katika ofisi ya bodi ya mtihani ya Nigeria inayokusanya pesa za mtihani.

=====

A Nigerian sales clerk has been suspended after she told auditors that a snake had eaten 36m naira.

That's the equivalent of $100,000 or £72,250.

The clerk, Philomena Chieshe, was working at an office for the Nigerian examination board which collects exam fees.

The exam board, the Joint Admissions and Matriculations Board, told the BBC that it dismissed her claim and has started disciplinary proceedings.

The incident has been ridiculed by Nigerians on social media.

Source: BBC
 
Hii habari eeeeeh
bado inashangaza wengi ila ndio njia ingine ya kuzitafuna.
 
wanawake mnaopenda pesa
fursa ndio hiyo
mtafuteni huyo nyoka hela hizo hajazimaliza
 
Labda ametumia lugha ya picha.

Hata sisi hapa Tanzania yamejaa MAJOKA kila taasisi, na yametafuna matrilioni ya fedha.
 
'Takukuru' ya Nigeria imebidi iweke Picha ya Nyoka kwenye Tovuti Yao Rasmi ya ofisi
 
hata huku kuna joka lenye makengeza linazitafuna kweli kweli na limeshindikana
 
Karani mmoja nchini Nigeria amefukuzwa kazi baada ya kuwaambia wakaguzi wa hesabu kuwa nyoka alikula naira milioni 36. Pesa hizo ni sawa na dola 100,000 za kimarekani sawa na zaidi ya Milioni 227 za Kitanzania Karani Philomena Chieshe alikuwa akifanya kazi katika ofisi ya bodi ya mtihani ya Nigeria inayokusanya pesa za mtihani. Source: BBC

Ubishi wa nini. Kama wana laki moja nyingine ya haraka si wampe ili awaonyeshe huyo nyoka anavyokula hela?
 
Hii habari nimeiona jana mahali nikadhani utani kumbe kweli. Kweli Trump hakukosea kwa Ile kauli yake
 
Back
Top Bottom