Kikudindi Cha kigaidi ISIS upande wa Sinai misri
kimetangaza Vita dhidi ya Hamas Palestina
nakuwataka waislam wote kukishambulia kwasababu siyo waislam wa kweli wanafuata mrengo wa kishia Na wameshindwa kumzuia Donald Trump kutangaza Jerusalem makao makuu ya Israel Na pia kuvishambulia vikundi vidogo vya Sunni Muslim Salafi.
ISIS ambao wanadai wenyewe ndio waislam wakweli kwasababu wanafuata siasa Kali ambacho kinapingwa vikali Na wakufunzi/scholars
Akitoa hotuba iyo kabla ya kumuua mateka wa wanadai alikuwa jasus wa Hamas
bosi huyo wa ISIS Sinai Abu Kazem al-Maqdisi alikuwa aking'aka Na kuzungumza kwa jazba mbele ya kamera.
Kikundi Cha Hamas ambacho Ni freedom fighters Palestine kinaungwa mkono Na the most well armed and organized millitant group in the world Hezbollah pamoja Na Iran ambao Ni washia.
Israel haina time Sana Na ISIS kwasababu siyo tishio kivile ukilinganisha Na Hamas Na Hezbollah.
Bila Hezbollah Na Iran ISIS ingeshaichukua Syria zamani Na kumuua Assad.
ISIS ambao wanadai wenyewe ndio waislam wakweli kwasababu wanafuata siasa Kali ambacho kinapingwa vikali Na wakufunzi/scholars
Akitoa hotuba iyo kabla ya kumuua mateka wa wanadai alikuwa jasus wa Hamas
Kikundi Cha Hamas ambacho Ni freedom fighters Palestine kinaungwa mkono Na the most well armed and organized millitant group in the world Hezbollah pamoja Na Iran ambao Ni washia.
Israel haina time Sana Na ISIS kwasababu siyo tishio kivile ukilinganisha Na Hamas Na Hezbollah.
Bila Hezbollah Na Iran ISIS ingeshaichukua Syria zamani Na kumuua Assad.
Attachments
-
47C66D9A00000578-0-image-a-21_1515149190945.jpg87.9 KB · Views: 91 -
ISIS-still-5.jpg50.1 KB · Views: 81 -
47C66DAA00000578-5238391-image-a-1_1515147722321.jpg36.1 KB · Views: 93 -
47C66D4600000578-5238391-image-a-2_1515147738239.jpg24.8 KB · Views: 101 -
d81da034c3cdc0bb9034d453864c0346_56da63792c438.jpg28.2 KB · Views: 92 -
47C674F600000578-5238391-image-m-10_1515147973228.jpg26.9 KB · Views: 99 -
47C6750200000578-5238391-image-a-3_1515147759221.jpg32 KB · Views: 100