Equatorial Guinea: Chama kikuu cha upinzani chafutwa rasmi

Equatorial Guinea: Chama kikuu cha upinzani chafutwa rasmi

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,684
Huko Equatorial Guinea chama kikuu cha upinzani kimefutwa baada ya kuandaa maandamano yalisababisha fujo kubwa kupelekea watu kadhaa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa.

Maandamano hayo yalilenga kupinga uchaguzi mkuu uliokuwa umetarajiwa ambapo rais Theodore Ngwema kushinda.

Baada ya uchaguzi tume ya uchaguzi ilianzisha uchunguzi na kubaini kuwa maandamano hayo yalikuwa batili na kisha uamuzi ukatolewa wa kukifuta chama kikuu cha upinzani nchini humo, pia walioandaa maandamano wanatakiwa wakamatwe kwa kosa la kusababisha vifo na majeruhi.

Chanzo: African news
 
Hata hapa kwetu sijui kwa nini serikali inailea ile saccos ya ufipa,ni kuifutilia mbali ,sisi sio wa kwanza,vinginevyo hili genge likiachwa madhara yake ni makubwa sana
 
Mimi unadhani nahangaika nao? da mange kishasema hata yeye akija na taarifa tofauti kuhusu tarehe yetu pendwa (26/4/2018) tumpuuze...maana huenda mda huo anatoa taarifa atakuwa anachezea shoti za chuchu🙁🙂
Haha
dcd8058e047d37e950c66b80296b7b1b.jpg
 
Wanaomshabikia huyu Teodoro Obiang ni wale chinja chinja wa lumumba kwani, "They have a lot in common".

Hata Saddam (Dictator) aliwahi kumsifia sana Dictator Adolf Hitler na hata alipendezwa na nyoa yake akawa ananyoa 'Moustache' kama alivyokuwa akinyoa Hitler.

Ni kawaida sana kwa waovu kusifiana, kupongezana nk. Huyu Obiang mwaka 1979 wakati ananyakua madaraka, nakumbuka alimpindua na kumuua kinyama mjomba wake Macias Nguema Biyoga, eti mtu type hiyo ndio ccm wanamsifia humu. Bogus kabisa.
 
Back
Top Bottom