[B]MPANGO WA KUWAPUNGUZA WAAFRIKA KATIKA BALA LA AFRICA

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
7,503
7,107
Tajiri mkubwa duniani alikuwa katika mazungumzo ya kuzungumza kuhusu mpango wa kupunguza idadi ya waafrika. Maana kuna matatizo ya idadi ya waafrika wanaoamia nchi za Ulaya kwa ajili ya kupata makazi na ubora wa maisha, kwa iyo watakuja na mpango unaoitwa New world order, ili kuinusuru ulaya na matatizo ya waamiaji wengi uko ulaya.

https://www.quora.com/What-does-Bil...s-healthcare-and-reproductive-health-services

Mpango wa kuwapunguza Africa Mara 4 ya idadi iliyopo kama 1.1 billion mpaka kama 300 million miaka ya baadae
 
Back
Top Bottom