International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

IDF paratroopers teach US marines ‘lost art’ of tunnel combat
0 Reactions
17 Replies
2K Views
To African slaves and all others so called third word countries through colonialisms can't we say it's exploitative,undisturbed market in the name of intellectual property rights that has made...
0 Reactions
0 Replies
386 Views
Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May awatimua Wanadiplomasia 23 wa Urusi baada ya kushindwa kueleza namna sumu iliyotengenezwa Urusi ilitumika kwa Mpelelezi wa taifa hilo pamoja na kwa binti yake...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Mhudumu wa ndege anadaiwa kujeruhiwa vibaya nchini Uganda baada ya kuanguka kutoka kwenye mlango wa dharura wa ndege ya shirika la Emirates. Mwanamke huyo alikimbizwa hospitali akitokea uwanja wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Bankrupt Toys ‘R’ Us is closing all US and UK stores Rachel England,Engadget 2 hours 48 minutes ago It's a sad day for anyone who has fond memories of sliding up and down toy- It's a sad...
0 Reactions
1 Replies
604 Views
IT’S buried more than three kilometres underground, but it could be the key to finally ending the world’s deadliest conflict. Charis Chang Russian President Vladimir Putin, left, speaks to...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
The British government is seeking an urgent meeting of the United Nations Security Council to update members about the attack on former double agent Sergei Skripal. Kila naposema hili ni genge la...
1 Reactions
2 Replies
801 Views
Rais wa Ufilipino Rodrigo Durtete ametangaza leo kuwa nchi hiyo inajiondoa katika mkataba wa Roma, uliounda Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu - ICC. Durtete amedai kuwa mahakama ya ICC inatumiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
In 1967 Colonel Gaddafi inherited one of the poorest nations in Africa; however, by the time he was assassinated, Gaddafi had turned Libya into Africa’s wealthiest nation. Libya had the highest...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Umoja wa Mataifa umesema uchunguzi wa mashambulizi yaliyowauwa Wanajeshi 15 wa kulinda Amani wa Tanzania waliokuwepo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, umeonesha mapungufu katika mafunzo...
2 Reactions
121 Replies
13K Views
Wanaanchi wa Siera Leone wamelazimiaka kurudia uchaguzi ili kuchagua raisi mpya wa nchi hiyo kufuatia raisi aliye shinda uchaguzi uliofanyika machi 7, kushindwa kufikisha asilimia 55 ya kura...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Je ni kweli kampala ndo mzuri kwa majengo( fine buildings) ,barabara nzuri na sehemu za starehe mazuri kuliko jiji lolote Africa mashariki? Kuna report nimesoma kwa wajuzi wa haya mambo naombeni...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Sijui Hillary ana matatizo gani tu! Juzi alikuwa huko India ku promote kitabu chake na katika matembezi yake sijui nini kikamtokea akataka kudondoka mara mbili akishuka kwenye ngazi. Bibi anatia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Angela Merkel aechaguliwa kuwa Kansela wa Ujerumani kwa Mara ya nne, ikiwa ni miezi sita imepitatangia ucahguzi wa kitaifa umalizike, na kuleta mwisho wa mkwamo mrefu wa madaraka katika Historia...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Ethiopia watu 38 wamefariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupata ajali. Katika tukio hilo la kusikitisha basi hilo liligonga na kuruka ukingo wa barabara. Katika waliofariki katika ajali...
1 Reactions
3 Replies
917 Views
Wadau habari jana nilitafakari sana sana nikafikia tamati ya mawazo yangu kwamba katika diplomasia fulani kiongozi anaweza kung'amua mapema michezo michafu ya nchi husika hivyo akashauriwa...
16 Reactions
25 Replies
3K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump amekubali kukutana na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jon Un mwezi Mei baada ya kiongozi huyo 'mtukutu' kuahidi kuachana na majaribio ya makombola ya masafa marefu...
4 Reactions
95 Replies
10K Views
#CHINA. Inasemekana kuwa Bunge la China limepiga kura kupitisha marekebisho ya Katiba na kuondoa ukomo wa rais kukaa madarakani. Rais wa sasa Xi Jinping aruhusiwa kutawala bila kikomo endapo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Rais wa Mauritius Ameenah Gurib-Fakim atajiuzulu, Waziri Mkuu Pravind Jugnauth alisema, baada ya madai kuwa alitumia pesa za masaada kwenye ununuzi binafsi huko Dubai Jugnauth alisema rais alitoa...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Mugabe alidondokwa na machozi na kukubali shingo upande kuachia madaraka Gazeti la Standard linalochapishwa nchini Zimbabwe limefichua kuwa, aliyekuwa rais wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom