Profesa wa Maliasili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 632
- 1,935
Wasalaam kwenu wana bodi wa jf napenda kuomba updates(yanayojiri) kuhusu uchaguzi nchini urusi, naomba kuwasilisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu cha Arusha nini?Nasikia Putin analalamika huko...
Anko Chato anawadukua
obuma with his allies revenge?Russians vote in presidential election across 11 time zones
Update hizo hapo
====
Mfumo wa wa tume ya uchaguzi wa Russia washambuliwa na wadukuaji.
Confirmed the hacking originated from 15 countries.obuma with his allies revenge?
Hahaha...hapo sasa yani kile ni kiini macho Cha Uchaguzihahaha eti urusi nako kuna uchaguzi, maajabu haya
Kuna uchaguzi urusi??Wasalaam kwenu wana bodi wa jf napenda kuomba updates(yanayojiri) kuhusu uchaguzi nchini urusi, naomba kuwasilisha.
Uliwahi kujiuliza kwa nini Malikia wa UK bado yuko madarakani...kwa muda wote huo!?Urusi kuhusu demokrasia hamna tofaut na Tanzania au China
Limjamaa putin limekaa ikulu miaka 18 bado linataka tu
Hawa warusi sijui wazungu gani asee
Uingereza wanafuata Monarchy system of government ambapo kunakuwa na utawala wa kifalme lakini serikali inaongozwa na waziri Mkuu. Je huonagi wanafanyaga uchaguzi wa waziri Mkuu kila baada ya miaka 4 nadhani. So usifananishe utawala wao na nchi zingine kama Urusi au Marekani.Uliwahi kujiuliza kwa nini Malikia wa UK bado yuko madarakani...kwa muda wote huo!?
dahn acha tu, mwenzie xi jinping kaamua kumwaga mboga kabisa atatawala mpk awe kikongweHahaha...hapo sasa yani kile ni kiini macho Cha Uchaguzi
Putin sijui alikua anaogopa nn mpaka akaamua kumletea zengwe Alexei Navalny hadi kutolewa kwenye kinyang'anyiro
Wasalaam kwenu wana bodi wa jf napenda kuomba updates(yanayojiri) kuhusu uchaguzi nchini urusi, naomba kuwasilisha.
Na anjua na mrithi wake inabidi atokee loyal family so democracy ipi hiyoUliwahi kujiuliza kwa nini Malikia wa UK bado yuko madarakani...kwa muda wote huo!?
Wazungu pori, na ndio maana ilikuwa rahisi kuvunjika, power zote ziko kwa mtu mmoja.Urusi kuhusu demokrasia hamna tofaut na Tanzania au China
Limjamaa putin limekaa ikulu miaka 18 bado linataka tu
Hawa warusi sijui wazungu gani asee
sasa kama unalijua hilo kwamba kila nchi inautaratibu wake wa kujiongoza, kwa nini unahoji aina ya demokrasia ya Russia inayotokana na kanuni walizojiwekea kisheria kwa mujibu wa katiba yao ya nchi !?Uingereza wanafuata Monarchy system of government ambapo kunakuwa na utawala wa kifalme lakini serikali inaongozwa na waziri Mkuu. Je huonagi wanafanyaga uchaguzi wa waziri Mkuu kila baada ya miaka 4 nadhani. So usifananishe utawala wao na nchi zingine kama Urusi au Marekani.
Kumbe anko naye ni hacker mzuri!!Nasikia Putin analalamika huko...
Anko Chato anawadukua