International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

MAREKANI: Jimbo la California pamoja na majimbo mengine yameahidi kupinga/kuzuia Serikali kuuliza maswali kuhusu uraia wakati wa Sensa ya watu inayotarajiwa kufanyika mwaka 2020. Wawakilishi wa...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
natamani aanze pia kutoa amri/maagizo kama hayo kwa nchi za dunia ya tatu maana dalili zinaonyesha kuna wafungwa/kutakuwa na wafungwa wengi wa kisiasa ktk jela zetu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MAREKANI: Rais Trump ametoa amri ya kufukuzwa kwa wanadiplomasia 60 wa Kirusi, kufuatia Urusi kuhusishwa na shambulio la sumu kwa Jasusi wa zamani huko Uingereza Tayari nchi za kadhaa za Ulaya...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Madiwani katika jiji la Paris wametupilia mbali hoja ambayo ililenga kufunga biashara ambayo imekuwa ikihusisha watu kulipia kukaa na midoli ya mapenzi kwa saa moja. Wateja hulipishwa €89 ($109...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais wa zamani wa jimbo la Catalonia Carles Puigdemont anafikishwa mahakamani leo nchini Ujerumani baada ya kukamatwa jana, hatua ambayo imezusha maandamano katika jimbo la Catalonia. Maafisa wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mahakama Sierra Leone yaondoa amri ya kuzuia dulu ya pili ya uchaguzi wa urais ambao unatarajiwa kufanyika leo Mchuano mkali umebakia kwa Julius Maada Bio na Samura Kamara. Ikumbukwe kuwa wiki...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Update.. Idadi ya waliokufa mpaka sasa imefikia watu 53 ======== Watu 37 wamethibitishwa kufariki baada ya moto kuzuka katika jumba moja kubwa la kibiashara katika mji maarufu kwa uchimbaji wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Inakadiriwa zaidi ya watu 37 wamepoteza maisha huko Russia baada ya kutokea moto kwenye Shopping Mall. ==== Tunawapa pole warussia wote kwa tukio hilo la kuuhuzunisha. Mungu awalaze mahali pema...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma huenda akafikishwa mahakamani ndani ya wiki chache zijazo akikabiliwa na mashtaka ya rushwa, udanganyifu na utakatishaji fedha katika kesi inayohusu...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Racists must go to Australia – but should leave the keys to their equipment and property behind, said EFF leader Julius Malema during a Human Rights Day rally in Mpumalanga on Wednesday. "A...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu tumesikia vikwazo vya kiuchumi kwa russia,Cuba,N.korea nk.mara hii ni China.anashutumiwa kuiba maarifa ya Us hivyo katwishwa ongezeko la kodi kwa bidhaa zake...na wasiwasi China...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Marais 27 wa bara la Afrika Jumatano wamesaini makubaliano ya kuanzisha soko huria barani Afrika huko nchini Rwanda. Pia marais hao wamepongeza uamuzi huo na kusema kuwa hiyo ni hatua ya mwanzo...
2 Reactions
74 Replies
10K Views
Leo yamefanyika maandamano makubwa nchini Marekani yakiongozwa na vijana wadogo kupinga matumizi ya holela ya silaha huku wakitaka sheria kali ziwekwe juu ya umiliki holela wa silaha. Ikumbukwe...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwanini kagame unatumia nguvu kubwa kwa huyu dada?
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Siku ya jana Putin ameshinda urais kuiongoza Urusi kwa miaka 6 ijayo ,viongozi wa nchi za magharibi hakuna aliyejitokeza kumpongeza.Waliojitokeza kumpongeza ni Rais wa kazakhstan,Rais wa china...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
US training Europe to use tactical nukes against Russia is threat to non-proliferation – Lavrov America hataki vita ipaganiwe kwake kwa kuwa anajua kuwa atapolomoka kiuchumi, hivyo anataka vita...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
The return of Valambhia Children of the late controversial businessman Devram Purshotam Valambhia have logged a case at the international court of arbitration, demanding payment of claims $55...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
ZIMBAMWE: Polisi wameanza uchunguzi kwa Grace Mugabe, mke wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Robert Mugabe juu ya madai ya kuongoza mtandao wa majangili na usafirishaji haramu wa pembe za ndovu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Aliyekuwa Rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy anazuiliwa na polisi akihojiwa kuhusu tuhuma kwamba alipokea pesa za kufadhili kampeni zake kutoka kwa kiongozi wa zamani wa Libya Kanali Muammar...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Mamlaka ya Mapato ya Rwanda imetangaza kupiga mnada mali za kampuni inayomilikiwa na familia ya Diane Rwigara, mwanamke aliyetaka kugombea urais mwaka jana. Mamlaka hiyo imeeleza kuwa itapiga...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…